Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

Definition binafsi ni ipi?Kwani definition niliyotoa haijawahi kujadiliwa na wana zuoni?Unaelewa Nyerere alidefine vipi maendeleo?
Your browser is not able to display this video.
 
. ...Ongeza hapo na Legacy ya ya kubana Mafao ya Wastaafu??
 
Marekani tangu kujitangazia uhuru wake 1776 imekuwa na taifa la kidemokrasia na maendeleo yake yote yamepatakina chini mfumo wa kidemokrasia.

Hiyo India unayotamani kuifikia imekuwa taifa la kidemokrasia tangu kupata uhuru wake na maendeleo makubwa zaidi yalipatikana katika kilele chake cha demokrasia za ushindani mkubwa wa kivyama. Tangu mwaka 1977 Uwaziri mkuu katika nchi hiyo umekuwa ukibadilika kwa vyama tofauti.
Fahamu pia kwamba India ni taifa la serikali za Kimajimbo na ndio Taifa kubwa kuliko yote la kidemokrasia duniani.Uchaguzi wao wa 2019 Ulikuwa na wapiga kura milioni 900 na vituo milioni 1.
 
NENDA BABA MAGUFULI. ULIKUWA BINADAMU NA MADHAIFU PIA KAMA SISI. LAKINI ULIKUWA BARAKA KWA KUWA NA KUPAJI CHA UDHUBUTU.

BILA WEWE TUNGELIKUWA TUMEJAA HOFU ZA UGONJWA WA KULETEWA WA KORONA. TUNGELIKUFA KWA HOFU, UMASIKINI UNGEZIDI NA FAMILIA ZINGEPARANGANYIKA NA TUNGELIKUWA TUNALILIA CHANJO AMBAZO AGENDA ZAKE NI SIRI. ULIUSOMA MCHEZO VIZURI. SASA TUKO IMARA TUNAJUA TUFANYE NINI.

WATANZANIA WANAOSHABIKIA LOCKDOWN NA CHANJO UTADHANI WANALIPWA KUSAMBAZA PROPAGANDA ZA MABEBERU ZA KORONA.

NENDA BABA NENDA TUTAKUKUMBUKA. TUKIWA NA MATUMAINI KUWA MISIMAMO YAKO JUU YA KORONA HAITABADILIKA KWENYE UONGOZI MPYA.
 
Definition binafsi ni ipi?Kwani definition niliyotoa haijawahi kujadiliwa na wana zuoni?Unaelewa Nyerere alidefine vipi maendeleo?
View attachment 1733862
Sijasikia sehemu yoyote akisema maendeleo ni Uhuru wa...., maendeleo ya watu ni kuwaelemisha waweze kufit kwenye mazingira yao, kunyanyuka kutokea kwenye mazingira yao na kusonga mbele kutokea walipo.
 
Pengine una uelewa mkubwa sana wa demokrasia kuliko uhalisia. Kama Marekani wana demokrasia uhalisia na ya kweli, Aligore au John McCain wangethibitisha hilo.
 
Sijasikia sehemu yoyote akisema maendeleo ni Uhuru wa...., maendeleo ya watu ni kuwaelemisha waweze kufit kwenye mazingira yao, kunyanyuka kutokea kwenye mazingira yao na kusonga mbele kutokea walipo.
Hujamsikia hapo mwanzo akisema kuwa maendeleo siyo kutengeneza barabara,majengo makubwa,reli,bandari,etc?
 
Hujamsikia hapo mwanzo akisema kuwa maendeleo siyo kutengeneza barabara,majengo makubwa,reli,bandari,etc?
Nimemsikia, ila hakusema kuwa ni Uhuru, kwa ujumla amesema ni ELIMU. Sio Uhuru wa kuongea hovyo na kutukana hadharani kwa minajili ya kisiasa na demokrasia.

Walioelimika wataboresha na kuisongesha nchi mbele na miundombinu ni moja ya chachu za maendeleo, matumizi ya nishati pia ni key factor pia.
 
Wapi nimesema kuwa ni "uhuru wa kutukana hadharani"?Una kichaa?
 
Kuna Yule Mama Selina Kombani alikuwa Waziri nae Alisema ikulu sio ICU lakimu Mungu amchukua yeye Lowassa yupo
 
Kweli NDUGU unataka kuona chato ikiteketea! Kwanini? Yna umesahau kuwa chato in Tanzania NA maendeleo ya chato ni ya Tanzania.
 
Halafu hii corona mbona ina chagua watu,wamekufa viongozi wengi sana lakini alivyokufa magu tu na yenyewe imetulia..mbona hatuoni viongozi wengine wakifa,hasa waliokuwa nao karibu..mi nahisi kuna jambo zaidi ya corona hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…