Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

konda msafi
Nilichukia uliposema unakatisha story but nimefurahi kujiongeza kiutu uzima maana kwa ustaarabu niliokuona nao ilikua lazima urudi ,Ila pole hadi uli resine Khumbu apumzike mahali pema peponi
 
Mkuu umetaja hadi kabila langu ngoja basi niombe undugu wa hiyari kwa konda msafi
 
huyo mkundu kuwaka ametokea wapi ??
 
Home boy achana na huyo fala ajui anacho kisema,

Mi nipo CAPE TOWN nakufatilia kwa umakini sana alafu nakuelewe kinoma. Story yako inanikumbusha demu wangu waki- Xhosa (THANDO) mademu wakisouth we acha tu
Mkuu wananini tupe intro kidogo hata tukizamia wasitusumbue.
 
achana na huyo ...Hilo ndo Yale matoto yanaitwa JUNIOR...huyo tuachie wenyewe tumalizane nae...stay focus ....
 
Kumbe n ww mdau wa Isidingo eee. Yah haikua njema ile kitu ilimuumiza Sibeko. Halafu anarudi anasema anampenda bado kweli sie wanawake hatujui tunataka nini

Nilikua naifuatilia tokea huko huko SA kwenye channel yao moja sijui SABC3??? Iliisha kitambo, hata ITV nafikiri inaelekea ukingoni.

Niliipenda sana! Sibiya akaja kujinyakulia Girrafe huku my darling wake akizuru The HD mara kwa mara.
 
mkwamba nimekomaa mpaka mwisho ,jamaa nakushauriufungue duka la nguo za kike maana unavyozichambua nomaaa
 
Nasoma kama. Hadithi... Ya mtu anayeota. Lakini hakuna ukweli
 
Aisee@kondamsafi stori yako imenikumbusha mitaa ya Durban, nilienda huko for job training na kula bata sana, nimekumbuka hiyo shopping mole ya workshop.hapo nje kuna mahema mengi ya viatu alafu jamii ya wahindi wanapaogopa sana. Nilikuwa nakaa kwenye surbub moja kuna wazungu wengi sana iko karibu na shopping mole inaitwa checkers.
 
Sawa mkuu ila checkers sio mall. Checkers ni store/supermarket.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…