Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mbona hakuna muendelezo? Kila wakati nachungulia ila nakuta hakuna kitu
 
Ila mkuu ile checkers ni kama mlimani city tu hapa dar. Alafu umenikumbisha yale mabasi ya Durban watu wanapanda kwa foleni, pia daladala zao hazina konda, abiria mnachangishana tu alafu mna dereva, sipati picha hiyo ingekuwa bongo

Ujichanganye upande siti ya mbele ikapungua “Iphi imali yami uma uyiqoqa”
Na wewe ndio mwanzo wa safari
 
Hii ni hadithi tu ya mtu aliyefika South Africa. Ni kama anaota ndoto fulani ya zari la mentali... Imagination... Halafu anataka kuifanya kweli
 
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
 
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Kwa hiyo tufanyeje sasa?
 
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
We jamaa ni mjivuni usiye na exposure yoyote unayoisema. Kwa mimi nakuona ni kapuku tu. Kielimu kidogo na vijisenti unaona umeyapatia maisha. Hatuendi hivyo hata kama unaandika bila kujulikana.
 
Nilikua naifuatilia tokea huko huko SA kwenye channel yao moja sijui SABC3??? Iliisha kitambo, hata ITV nafikiri inaelekea ukingoni.

Niliipenda sana! Sibiya akaja kujinyakulia Girrafe huku my darling wake akizuru The HD mara kwa mara.
Hey my giraffe come here..!
 
Mhh hebu tuacheni msifanye watu waanzishe fursa za kufundisha wadada style ya kung'uta siafu tukatozwa hela za kufa mtu. hahahah Lungi atakua anajua si msouth Africa na yeye?
Anajua wapi yule? Anachojua ni maringo tu wenzie kina Claudette wamewahi fursa

Nina ndo anajua kukung'uta siafu mpka kunguni
 
Watu wa lumumba mna shida gani asee😁😁😁😁
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…