Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mkuu ile checkers ni kama mlimani city tu hapa dar. Alafu umenikumbisha yale mabasi ya Durban watu wanapanda kwa foleni, pia daladala zao hazina konda, abiria mnachangishana tu alafu mna dereva, sipati picha hiyo ingekuwa bongo
Kwa hiyo tufanyeje sasa?Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
We jamaa ni mjivuni usiye na exposure yoyote unayoisema. Kwa mimi nakuona ni kapuku tu. Kielimu kidogo na vijisenti unaona umeyapatia maisha. Hatuendi hivyo hata kama unaandika bila kujulikana.Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Di boya limpopo-master kg ft makhadzi
Ni kwa nini unaendelea kusoma hii ndoto na kujibishana na watu? Huoni kama utakuwa na matatizo ya mtindio wa ubongo!?Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Anataka kiki huyo hebu achaneni nae. Hana issue hamjamshtukia tu.Ni kwa nini unaendelea kusoma hii ndoto na kujibishana na watu? Huoni kama utakuwa na matatizo ya mtindio wa ubongo!?
Yaani huyu anataka kuwachosha tu hana lolote!Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Yaani yeye anaweza kuhesabu kuanzia 1 hadi 900 tu, hana lolote!Yaani huyu anataka kuwachosha tu hana lolote!
Unaumiza kichwa kwa boya kama huyo, achana nae mkuuWe jamaa ni mjivuni usiye na exposure yoyote unayoisema. Kwa mimi nakuona ni kapuku tu. Kielimu kidogo na vijisenti unaona umeyapatia maisha. Hatuendi hivyo hata kama unaandika bila kujulikana.
Hey my giraffe come here..!Nilikua naifuatilia tokea huko huko SA kwenye channel yao moja sijui SABC3??? Iliisha kitambo, hata ITV nafikiri inaelekea ukingoni.
Niliipenda sana! Sibiya akaja kujinyakulia Girrafe huku my darling wake akizuru The HD mara kwa mara.
Anajua wapi yule? Anachojua ni maringo tu wenzie kina Claudette wamewahi fursaMhh hebu tuacheni msifanye watu waanzishe fursa za kufundisha wadada style ya kung'uta siafu tukatozwa hela za kufa mtu. hahahah Lungi atakua anajua si msouth Africa na yeye?
Hey my giraffe come here..!
Anajua wapi yule? Anachojua ni maringo tu wenzie kina Claudette wamewahi fursa
Nina ndo anajua kukung'uta siafu mpka kunguni
Sotobe anampenda mkewe lakini anaenjoy kula tamu ya cebisa .Sotobe kuna siku kajikoki kwenda kulala kwa Giraffe kilichompata sasa...
Sometime nyege zikimpanda anaenda kwa majola au anatafuta boy mmojaNina kamandoo sana
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu