Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mnaopingaga uzinzi hadharani, huko sirini ndo mnakuwa wazinzi wa kiwango cha mwendo kazi..!!!
 
Home boy achana na huyo fala ajui anacho kisema,

Mi nipo CAPE TOWN nakufatilia kwa umakini sana alafu nakuelewe kinoma. Story yako inanikumbusha demu wangu waki- Xhosa (THANDO) mademu wakisouth we acha tu
MIMI ANANIKUMBUSHA DEMU WANGU WA KISAUZI MAMORAKANE (MZURI HUYO) KUTOKA SOWETO. KICHWA UMIZA ISEE
 
Kuna mwendelezo hapo katikati umekupita. Jaribu kupekua utauona.
kishaija konda msafi njia nzuri ya kupata episode zote kwa urahisi ni kubonyeza profile ya konda msafi uende kwenye posts zake utapata zote alizoandika yeye tu bila kuruka, nimeanza kupitia leo asubuhi episode 1 mpaka saivi mchana nimemaliza zote, unasoma bila comments za watu wengine (ingawa kuna wanakijiji wana mapovu balaa).. si mchezo kupitia comments zote page 120 huwezi kumaliza leo.

Big up Baaba Khumbu. Rip Khumbu.
 
Hapo kweny kukisi mpka kuishiwa pumzi hapoooo umenikumbusha mbali
 
Mi bado niko niko tu sana, huyu Khumbu hadi aeleweke kisa chake, staki kujua itachukua siku,mwezi au mwaka. Nimeganda papa hapa. Big up konda msafi!

Salamu toka nchi jirani ✌️
 
Ni wazi huu uzi ushakufa kifo cha mende.
Mzuka umekatika ,wadau wamepotea jumla ,hakuna anayelazimisha tena epsodes ziletwe ,msimuliaj nae kakata tamaa .

Pesa pesa pesa ndio tatizo yaan buku moja limekimbiza watu hapa ,ila mwandish nadhan ulichoka kusimulia ukaona hawa watakimbia wenyew tu kwa kuwambia wachangie buku ,na Ni kweli wamesepa jumla .

Daaah fresh tu mm naaga rasmi kwenye huu uzi sirud tena hapa maana kilichobak Ni upuuz tu.
 
kwahyo tuliotoa buku imekula kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…