Sijaanza bado.. Nisije kuteng'uka kiuno.[emoji23]
Aiseeee dingii mbona sound zimekuwa mingi sana.Habari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Kabisa... Kabisa.Umewaza vyema... Hii mambo sio kwa ajili ya kila mtu.
Okey.Yale ya kawaida,sema taratibu..kulia kushosho kulia kushoto
Kaka jiongeze,Aiseeee dingii mbona sound zimekuwa mingi sana.
Last time ulisema utamaliza jumatano kwa upeo wangu mdogo nikaamini utakuwa unaandika kidogo kidogo mpaka leo jumatano unaitupia yote.
Kumbe hata kuandika hukuandika?
Kuliko kufanya hivi sema tu watu wasubirie baada ya miezi miwili utakuwa umeikamilisha na ikifika muda huo uwe umeikamilisha kweli
Kila la kheri na pole na maswaibu unayoyapitia.
ooh huwa unaripoti eneo la tukio bila kukosa?[emoji3][emoji3][emoji3] sijawahi kula eti.
miuno yako ya dizaini gani au ndo kundi moja la miuno siafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kudadadeki
Miuno kama siafu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Umeniwahi. Nilitaka kusema hivihivi, kuwa ni hulka yetu hatuna commitment na consistency, kila jambo inakuwa kama tunakurupushwa kuanzisha halafu tunaachana nalo bila kukamilisha.Hii ishu imenikumbusha idawa alileta story 2015 ilibaki Kama sehemu mbili tuu akapotea jumla Kila wadau wakimkumbushia Sababu kibao mpaka leo. Huu Ni ukatili. Au ndo nature yetu Watz kuwa hakunaga Jambo tunaanzisha likaisha salama?? Maana hata miradi mingi ya nchi inaishiaga njiani
Hata useme mpaka mwakan tuna ww tuHabari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Ninachokusifu ni kuwa, shule hukutetereka, na unathamini elimu! Hongera!Hata mimi najua kitambulisho ndio kiliniokoa. Ukiwa mwanafunzi kuna perception flani watu huijenga kwamba upo safi.
Daima meya ni mtu wa watu, mtaani!Wewe umeona Mayor ni mtu mkubwa sana sio. Mbona Mayor alikuwa anakuja kunyoa kwenye salon za waburundi hizi za mitaani?
Ni moja ya maadhimio ya kikao tulichokaa[emoji23]Kumbe madem wa south now wanakula nauli kama wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haaaa.Hata useme mpaka mwakan tuna ww tu
Mlianzisha vikao vyenyu hata nyie? π π πNi moja ya maadhimio ya kikao tulichokaa[emoji23]
Saficha papuchi hiyo mpelekee kondo msafi,acha uhuni wa kula nauliHaooooo wameachwa kwenye mataaaa