Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Habari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Aiseeee dingii mbona sound zimekuwa mingi sana.
Last time ulisema utamaliza jumatano kwa upeo wangu mdogo nikaamini utakuwa unaandika kidogo kidogo mpaka leo jumatano unaitupia yote.

Kumbe hata kuandika hukuandika?

Kuliko kufanya hivi sema tu watu wasubirie baada ya miezi miwili utakuwa umeikamilisha na ikifika muda huo uwe umeikamilisha kweli

Kila la kheri na pole na maswaibu unayoyapitia.
 
Kaka jiongeze,
Watu washapigwa za bando

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani tumwache konda msafi amalize story yake bila presha kutoka kwa wasomaji, aliamua mwenyewe ku share experience yake na akajitahidi kuitoa mfululizo vizuri tukafurahia , nadhani ni busara kumwachia ailete vile anavyojisikia, akiandika kwa utulivu huyu bwana anajua kupamba story kweli, tumwacheni, ni muungwana ataimalizia tu!
Mnapombana namna hiyo anahisi labda kuna msela anataka kwenda nayo SINTASAHAU ya free africa. Kuweni watulivu! Mastory yapo mengi tu Jamii forum kasome Jamaa Alivyompiga kofi mchepuko, ili ujue bado kuna wanawake ambao ni waifu material humu duniani, ingawa wa kutafuta na tochi! Yule ndio mke sasa!
 
Hii ishu imenikumbusha idawa alileta story 2015 ilibaki Kama sehemu mbili tuu akapotea jumla Kila wadau wakimkumbushia Sababu kibao mpaka leo. Huu Ni ukatili. Au ndo nature yetu Watz kuwa hakunaga Jambo tunaanzisha likaisha salama?? Maana hata miradi mingi ya nchi inaishiaga njiani
Umeniwahi. Nilitaka kusema hivihivi, kuwa ni hulka yetu hatuna commitment na consistency, kila jambo inakuwa kama tunakurupushwa kuanzisha halafu tunaachana nalo bila kukamilisha.
 
Habari wakuu? Kwanza napenda kuwaambia kuwa nawapenda wote mnaofuatilia hii stori. Hata hao wenye maneno ya kukera. Ila naombeni mnisamehe, sitaweza kuimaliza kwa leo hii stori kama nilivyoahidi. Akili haina utulivu kidogo, kuna mambo binafsi yananiondolea utulivu wa akili hivyo nashindwa kukaa na kuanza kuandika. Na mimi sipendi niandike kitu kwa kulipua. Nitaimalizia, mniwie radhi wakuu.
Hata useme mpaka mwakan tuna ww tu
 
konda wa daladala unataka walipe tena nauli iyo ni busara au huo ni ushamba huo ni ushamba 😂😂😂😁😁 natania konda msafi ww lete storiiii man.
 
Sasa mbona hamjamtumia na ya kutolea, tumeni na ya kutolea mababy wa JF
 
Back
Top Bottom