Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hahahaha wewe jamaa bhana. Ungekausha bana. Watu walikuwa wanahitaji picha ili stori iishe. Sasa ndio umefanya nini sasa hahahaha! Basi waletee na Khumbu original sasa.
Pwahahahaha!... Wee jamaa hataree! 🤣
✌️
 
Vipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Post zote 2 na ya khumbu pia Kuna wengine hatukuiona
 
ANGALIZO: Katika nchi ya Tanzania usijaribu kumdanganya MBONGO, pamoja na umasikini wake ataenda kukopesha pesa ya VOCHA akufuatilie kwenye mitandao yote, pages zote za watu..yani MBONGO ni usalama wa taifa part 2
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.
Tuwekee picha bwana yaani wewe unadhani kwamba unaweza kumridhisha kila mtu hapa Duniani fanya Mambo yako kwaajili ya wale wanao ku- support na wanao ona umuhimu wa Hii story hao wanao kupinga achana nao ndio maisha yalivyo usitarajiwe kupata positive halafu pasiwe na uwepo wa negative .... So post picha kwaajili yetu'' sisi wengine Kuna ambao Huyo khumbu hatujamuona still tunataka picha yake na Huyo Amina pia m-post wazee wa mamlaka ya viwango tuthibitishe [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata style ya hili vazi kwa wale watu wa fashion ni style latest kabisaa....au nasema uongo ndugu zangu
Ni kwel mkuu,jamaa amefel kucheza na nyakat,Mimi nilimtahadharisha kuweka picha hakusikia ona kaumbuka
 
Hahahahaha! Picha halisi ya Khumbu kwa heshima yangu kwakwe hamuwezi kuipata. Mlifanikiwa kumpata Sandile lakini Khumbu sidhani. Wabongo mna mambo mengi sana hivyo kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
hii ungesema tokea mwanzoni mkuu rather than seriously kutaka kutuaminisha yule ndo yeye that means tusingekua wadadavuzi ungekua umetulisha tango,.haijakaa poa,.
 
Jamani tulikubaliana nikiwawekea picha ya Khumbu na stori inaishia hapo, si ndio? Picha nishaweka kwa hiyo stori ishaisha wakuu. ...Nawatania jamani stori nitaimalizia. Tatizo kuandika kunatia uvivu sana halafu inakula muda sana.
Mkuu ulitaka ile chips
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natania mwana tule burudani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…