Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Am back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh supu imeingia naziHahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]View attachment 1714959
Ndo hyo iliyowekwa na JonqNimekuw mmoja wa waliosistizi pcha ya Khumbu iwekwe.Lakn imewekwa na kufutwa bila mi kuiona.Imeniuma san!
Maana yake pambana na hali yako
Hahahaha ila hii story ilikuwa ya kusisimua sana hadi mitaani ina trend,binafsi nili amini hiyo picha hadi pale nilipo tiashaka hiyo picha ya khumbu,ni kama mtu ambaye alikuwa photoshoot nikaongeza mashaka niliposikia umempiga mkiwa kitongoji cha rossburg,nikafanya ku google lens na image search kule bing ikaleta matokeo chanya,bado naimani na awamu hii chini ya uongozi wa jiwe tutapata tu picha halisi ya khumbu konda msafi malizia kwanza story ili tukiingia kazini tuwe na uhakika wa kuchakata data.ANGALIZO: Katika nchi ya Tanzania usijaribu kumdanganya MBONGO, pamoja na umasikini wake ataenda kukopesha pesa ya VOCHA akufuatilie kwenye mitandao yote, pages zote za watu..yani MBONGO ni usalama wa taifa part 2
Carlton centre kwa mbaaaali!Wazee wa fordsburg
Ndani ya gauteng jozi
View attachment 1701421
Tuje maeneo tutakutana marshalltown
View attachment 1701422
View attachment 1701423
View attachment 1701424
Maisha ya sauzi kama bongo akaunti inasoma milioni 50 mpaka 100.na unaweza kulipa kodi kuanzia laki 6 basi kule unaweza kuishi maisha mazuri na michongo kibao.
Ila tahadhari wabongo asilimia 90 sio watu huko wanaweza kukutoa kwenye ramani hata ujilani nao mbali kabisa.
Kuna pisi za kufa mtu na chai ya moto (ukimwi) maana baridi tu litakufanya huwe mlevi au mpenda chini.
Basi nitumie pm.. tafadhali sanaMkuu picha imefutwa.
Huyo ni Khumbu fake mkuu. Khumbu hana sura nzito kama hiyo.Basi nitumie pm.. tafadhali sana
Hahahahaha! Picha halisi ya Khumbu kwa heshima yangu kwakwe hamuwezi kuipata. Mlifanikiwa kumpata Sandile lakini Khumbu sidhani. Wabongo mna mambo mengi sana hivyo kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.Hahahaha ila hii story ilikuwa ya kusisimua sana hadi mitaani ina trend,binafsi nili amini hiyo picha hadi pale nilipo tiashaka hiyo picha ya khumbu,ni kama mtu ambaye alikuwa photoshoot nikaongeza mashaka niliposikia umempiga mkiwa kitongoji cha rossburg,nikafanya ku google lens na image search kule bing ikaleta matokeo chanya,bado naimani na awamu hii chini ya uongozi wa jiwe tutapata tu picha halisi ya khumbu konda msafi malizia kwanza story ili tukiingia kazini tuwe na uhakika wa kuchakata data.
Kama unahisi ni stori ya UONGO TUNGA YAKOOOOOOFupisha maelezo...
Kawaida ya uongo huwa ni ngumu kufika mwisho..
Stori ya ukweli huwa haina eposodes...
Utanishukuru baadae..
Alisikika mfuta thread akisema.
Mbona siyo, Alisika konda msafi akisemaNdo hyo iliyowekwa na Jonq
Kabisaa watu wenazinguaKama unahisi ni stori ya UONGO TUNGA YAKOOOOOO
Kabisaa watu wenazinguaKama unahisi ni stori ya UONGO TUNGA YAKOOOOOO
Mods washatufutia picha tuliochelewa kuview. Natamani hadi niombe resend nahisi kupagawa kwa comments.Rossburg ni surbub tuliyowahi kuishi. Kwa wale tulioanza nao mwanzo wa stori nadhani neno Rossburg sio shida kwao.
Konda ndo alimpost huyo japo sio Khumbu tuliingizwa chakaMbona siyo, Alisika konda msafi akisema
😂 😂 😂Mkuu hujashtua hata kimoja cha fasta kibaharia?
Dah! 🤣 🤣 🤣Khumbu kwenye akili yangu ilikua nimemchora Kama dem flan hivi mwenye uzuri wa asili uliyo undwa kwa ngozi rangi ya chocolate, macho ya mviringo akikuangalia kama anasinzia, nywele za singa singa, tabia ya upole umbo namba 8, tako lina ning'ing'inia, kiuno kama chupa ya fanta orange take away, chuchu saa 6 zinazo choma bila kuumiza[emoji39][emoji39][emoji16][emoji16] dah aise kumbe hata siyo
Absolutely!Mkuu kwenye stori sijaelezea kila kitu. Ningesema nielezee kila kitu nadhani hata mwaka ungeisha sijaimaliza hii stori. Mara nyingi tu nilikuwa namchimba mkwara anakuja anakimbia. Hata akiwa wapi nikimhitaji lazima aje. Halafu pia usisahau kuwa mapenzi huwa yanachuja, mtu anakuzoea anakuona wa kawaida tu. Halafu mapenzi hayana baunsa mkuu. Unaweza ukajimwambafy hapa kuwa huwezi kuwa boya wa mapenzi ila akipatikana mjanja wako anakunyoosha kisawasawa. Moyo ukipenda mkuu ni shughuli pevu kujinasua.