baracuda
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,266
- 1,350
Hiyo picha ipo comment namba ngapi, mbona siioni? konda msafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu picha imefutwa.Hiyo picha ipo comment namba ngapi, mbona siioni? konda msafi
Duh konda msafi embu tueleze kwa kina hili swala!!!
Halafu Khumbu wa Kichwani kwangu alikua mkali kuliko Khumbu mwenyeweAcheni kumuumbua mpaka atakapo maliza story jamani, mtamkimbiza asimalizie story bure atuache matanga.
Ila shkamoo zako, hio picha umelenga kwa manati kaah.
khumbu_peresa hebu njoo huku uwachambe, walikua hawakusikii.
Makombora ya nyuklia ya kazi gani? Mabomu ya kawaida tu yanatushinda kuyatunza yanatulipukia gongo la mbotoWabongo kwenye Mambo ya kipuuzi tulisha shindikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi hizo akili mngekua mnazitumia kwenye Mambo ya msingi si tungekua na makombola yetu ya nyuklia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Konda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?Wabongo wanasema huyo ni Khumbu fake. Nisije nikaweka na ya Amina tena nayo wakasema ni fake. Ngoja kwanza nipate muda niimalizie stori then nitaangalia kama kuna haja ya kuweka picha.
Umedandia stori kwa mbele jomba.Konda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?
Vv
Mkuu nadhani wewe hujasoma mwanzo wa stori. Jaribu kusoma kuanzia mwanzo utapata jibu.Konda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?
Vv
Kukusaidia alikwenda kule kufanya kazi kihalali na document zote alikua nazo sasa akawaomba ajiendeleze kielimuu akafanikiwa kusoma ordinary akafaulu akajiunga advance then chuoKonda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?
Vv
Jamaa awaulize tamisemi,walichokipata,wabongo kwenye sm wapo dunia nyingineKonda unaumbuka sababu ya kurefusha story .watu watahisi kila kitu cha uongo sababu ya picha fake ya khumbu,wabongo ni nyokko
Kumbe tupo wengi wenye UE![emoji16][emoji16] napiga msuli wa UE
Pembeni Kuna k vant Na story ya khumbu
Huyo demu alikua Ni kifaa.
Hiyo picha ya Khumbu mbona haionekani?Vipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Mkuu naomba nitumie hiyo picha ya KhumbuHapana ndugu siunajua jana ilikuwa siku ya kubet nguvu zote zapotelea huko
Soma story yoteKonda msafi, nataka kuuliza swali; unasema hapa Bongo uliishia F 3, lkn ulipoenda SA ulidahiliwa kusima degree. Ulitumia vyeti gani kupata udahili wa chuo kikuu wakati hukuhitimu elimu ya chini kabisa ya sekondari?
Vv
Hahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
Hahahahaha konda msafi huyo dem anaitwa Siphosethu Maqhubela ila yeye yupo hai bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila malizia story tu then ndo utupe picha ya Khumbu mwenyewe [emoji1787]View attachment 1714959