Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na hili kahaba jinga kudharau aliyelihonga nyumba ikabomolewa. khumbu alivyo mpaka sasa hakuna namna ya kumchora! konda msafi anajua kupanga maneno bana. ili stori yake useme ni ya kutunga lazma uwe na tatzo la PID sugu.View attachment 1714542
Khumbu kama khumbu
Fanya kuiweka mkuu konda msafiVipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Wale jamaa zako wabongo hawakuja kwenye graduation au ukuwapa habari mkuu, na vip mawasiliano nao wakat umepata kazi au uliwapotezea.Vipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Mzee baba tupia khumbu akiwa full,,achana na hawa ndugu zetu kwanzaVipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Demu mbovu tu huyo hamfikii khumbuView attachment 1714542
Khumbu kama khumbu
Hiyo picha mbona kama ziko insta huku profile ya mtu kabisaView attachment 1714642View attachment 1714643
Mbona picha ya kumbu siioni mkuuMkuu hongera sana.
Mwendazake KHUMBU na kati ya S.A alikuwa bonge moja ya demu.
Una haki zote za kuwa ulivyokuwa.
Daaaah, aiseee
Yaaani ana bonge ya figure.
Hongera kwa kumfaudu, na honhera kwa yote.
Mkuu mbona picha wengine hatuioni,nataka nami nijichukulie khumbu wa kikhosa hapa capetownKwa hiyo unataka kusemaje labda?
Tupotezee mkuu endelea kutupa story.Tatizo wabongo wengine wajuaji sana. Sasa kama mnamjua Khumbu si mumuweke sasa?
Hii oicha mbona hamna, au imefutwa?Hongera Sana mheshimiwa rais JPM
Hatimaye konde kaleta picha
Picha imefutwa. Watu walianza kuleta ujuaji.Hii oicha mbona hamna, au imefutwa?