Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

IMG_5061.jpg

Khumbu kama khumbu
 
Vipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Wale jamaa zako wabongo hawakuja kwenye graduation au ukuwapa habari mkuu, na vip mawasiliano nao wakat umepata kazi au uliwapotezea.
 
Mkuu hongera sana.
Mwendazake KHUMBU na kati ya S.A alikuwa bonge moja ya demu.
Una haki zote za kuwa ulivyokuwa.
Daaaah, aiseee
Yaaani ana bonge ya figure.
Hongera kwa kumfaudu, na honhera kwa yote.
Mbona picha ya kumbu siioni mkuu
 
Wabongo kwenye Mambo ya kipuuzi tulisha shindikana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi hizo akili mngekua mnazitumia kwenye Mambo ya msingi si tungekua na makombola yetu ya nyuklia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom