Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mkuu ndo tutabaki wapweke story imeisha
 

Aisee imeisha kama ISIDINGO
 
Asnte mzee tuandaliae uzi mwingine
 
Picha kaka
Tatizo la wabongo ni hili: Unaweza kuweka picha ya Khumbu humu watu wakaanza kukushambulia kwa maneno kama "Utawekaji picha ya marehemu kwenye mitandao? Unamdhalilisha marehemu, dini hairuhusu kuweka picha ya marehemu, humu humjui mtu stori tu inatosha hukutakiwa kuweka picha, na maneno mengi yanayofanana na hayo ambayo yatakufanya ujute". So mie naona tuachane na mambo ya picha. Kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
 
Mbona marehemu wengi tunakutana nao mitandaoni humu Kuna kina bob Marley Bruce Lee Theodore rusevelt etc Kama Ni issue ya kulalamika wanapaswa kulalamika juu ya hao kwanza


Mkuu tuweke picha hiyo
 
Ulisema uzuri wake ndo umesababisha kifo chake masela nao walisemaje kuhusu kifo chake?
 
Shukrani sana kwa stori ila muhimu uweke picha ya khumbu tuone uzuri wake... Tafadhali snaa...mbona picha za marehemu tunazo nyingi! Usijali sana,, we weka picha...
 
dah amekufa na utamu wake khumbu rip

ulituahidi picha yake mkuu ahadi ni deni
 
Mkuu tunashukuru kwa story nzuri ila mwishon hapa kama final episode umeiharakisha kuimaliza hv kuna nyama nyama zinamiss vile....
 
kinachothibitisha khumbu alikuwa mzuri zaid ya mstari wa kawaida kitendo cha kufa akiwa mdogo. naskia watu wazuri na wema hufa mapema. kila mmoja sasa ajitafakar yukoje
 
Duh!,amekufa kirahisi sana Mtoto mzuri mwenye ufundi wake.

Afu Kuna mijambaz na midikteta inaishi muda mrefu
Ndivyo ilivyo mkuu,madikteta huwa hayafi haraka!Yatatesa watu weee,yenyewe yanakuja kufa baadaye kabisa.Idd Amin,ona haya madikteta ya sasa.Sijui haya mambo yakoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…