Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Ahsante kwa kwa hii story konda msafi. Nilikuwa naifuatilia kwa ukaribu kabisa. Ila naomba utuambie je wale jamaa zako uliowatuma wakachunguze chanzo cha kifo cha Khumbu walirudi na feedback kuwa chanzo ni hicho cha kubanwa na mbavu? Hapa umetuacha njiapanda.
Ahsante.
 
Huu uzi toka mara ya kwanza kuuona nilikua naupita sasa jana nikawaza ngoja nizame nione hatari.
 
Hongera konda msafi kwa uandishi mzuri na pole kwa kuondokewa na kumbu.
 
Fohadi mbona unanitega mkuu? Usije ukanifanya nikaweka picha ya shemeji yako hapa kwa hasira. ...Just kidding.
hahahhaahaha weka tu mkuu..watakaochukia shauri yao maana swala la kumfurahisha kila mtu ni gumu...kuna wengine wamechukia tu hata ulipohadithia hii story..so wote hawawezi kufurahi...iweke tu mkuu ili story iwe complete..
 
Hizi habari za korona zilikua zimenichosha,nahisi kuchangamuka sana.
 
Story nzur,sema kifo Cha khumbu bado akijaeleweka.kwamba corona ilikuwa south toka muda.
 
Hongera sana kwa uandishi mzuri. Yaani msomaji hachoki kusoma.
 
Pole sana kwa kuondokewa na mtu alowahi kuuteka moyo wako,kiukweli inauma sana,na wakati mwingine unasema ni labda ungekuwa umemruhusu kuja bongo asingekufaaa,kifo jamani kifoo
 
Utafute tu mkuu utaupata. Au omba watu wanaojua kutafuta nyuzi waupandishe hapa. Mie mwenyewe sijui jinsi ya kutag nyuzi hata nikiupata sitaweza kuupandisha hapa.
Duuuuh, malizia tuu tuone Khumbu alipata vp ile gari, lkn pia hujaoonesha sehemu ulipopigwa mkwara kuwa utapigwa risasi ukiendelea kuwa kwenye mahusiano na Khumbu, konda msafi onesha basi usafi wako hapa
 
Huu tunaita ni ukatili wa fasihi, huwezi kutufanyia hivi konda msafi, yaani tunafikia pazuri we ndo wakata utamu.

Fb Khumbu anatumia jina gani boss?? Ila napata maswali sana juu ya Khumbu, ulisema elimu yake ni ya high school, aliweza vp kuwa bank teller?? Au alipata nafasi ya kwenda chuo??
 
Duuuuh, malizia tuu tuone Khumbu alipata vp ile gari, lkn pia hujaoonesha sehemu ulipopigwa mkwara kuwa utapigwa risasi ukiendelea kuwa kwenye mahusiano na Khumbu, konda msafi onesha basi usafi wako hapa
Mkuu endelea kupekua muendelezo utaupata. Umesoma na kuishia nyuma sana. Wadau waliniomba niimalizie hii stori hivyo nami bila hiyana nikawaahidi sitawaangusha, na leo ndio nimeihitimisha. Naomba tu uendelee kupekua kila page utapata episodes zote hadi espisode ya mwisho. Nashukuru sana kwa kuifuatilia hii stori.
 
Bank teller mbona hata darasa la saba anafanya mkuu. Wewe utashindwa kupokea hela za wateja na kuwaandikia slip? By the way huo ulikuwa uongo wake tu. Ukiendelea kusoma utaona nini kilitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…