Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

One of the best love story i have read.... hakika bongo movie wangetoa story kama hii huyo mtumzi anegeuza sana@konda msafi kwanini usiitengenezee hii story kama movie?
 
Hapo ukirudisha miaka nyuma time travel unakutana na khumbu sisi wazee wa meditation tunawezaga hizi mambo
 
Hapo ukirudisha miaka nyuma time travel unakutana na khumbu sisi wazee wa meditation tunawezaga hizi mambo
Mkuu, nammiss sana huyu mwanamke. Huwa siamini kama kweli alifariki. Huwa ananiijia ndotoni na kupiga stori. Kuna siku niliota tupo sehemu flani hivi. Nikawa namuuliza "mbona niliambiwa umefariki?" We acha tu mkuu.
 
Duuh aisee huyo dem mlipendana sana......
 
Kipindi nipo naye nilikuwa naamini kama ananipenda lakini kwa sasa baada ya kuwaelewa wanawake vizuri ndio nimezidi kuamini hakika alikuwa ananipenda sana.
Hakika kwa mujibu wa stori nilivyosoma demu alikuwa anakupenda.......
nimesikitika kwanini hukumruhusu aje bongo....
 
Mh ikowapi mbona naona mwisho34 hapo juu
34 ni pale moderator walipoishia kuziweka episode page ya kwanza ili iwe rahisi kwa wasomaji kuifuatilia stori. Nadhani walichoka kuendelea kuziweka zote hapo. Kwa hiyo zilizofuatia zitafute huko mbele utazikuta.
 
Story niliiacha kwanza itembee, rasmi nikaanza kuisoma tar 1 mwezi huu.
Hii yote ni kuepuka mambo ya nitaendelea. Nikiona story ni huwa siifungui naiacha kama mwezi hivi nikija kuipitia naipitia yote.

Konda msafi hongera na pole.
Japo kipindi naisoma hapo katikati ulitaka kuikatisha, nilifurahi nilipoendelea kufungua page nikakuta umeamua kuimalizia.
Ningependa kujua ulienda south ukiwa na umri gani? Na ulirudi ukiwa na umri gani?
 
Bongo nilikuwa kwenye penzi zito na mwanamke mwingine, pia nilikuwa na majukumu mengi sana.
Sawa mkuu umeeleweka japo mm bado nasikitika pengine angekuja bongo mtoto wa watu angekuwa bado yupo hai......
anyway ni mtazamo tu
 
Story niliiacha kwanza itembee, rasmi nikaanza kuisoma tar 1 mwezi huu.
Hii yote ni kuepuka mambo ya nitaendelea. Nikiona story ni huwa siifungui naiacha kama mwezi hivi nikija kuipitia naipitia yote.

Konda msafi hongera na pole.
Japo kipindi naisoma hapo katikati ulitaka kuikatisha, nilifurahi nilipoendelea kufungua page nikakuta umeamua kuimalizia.
Ningependa kujua ulienda south ukiwa na umri gani? Na ulirudi ukiwa na umri gani?
South Africa nilienda nikiwa na miaka 20. Nilirudi nikiwa na miaka 28 kama sio 29.
 
Back
Top Bottom