konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
- #3,221
Mkuu mimi sio wa kishua. Bado napambana na maisha.Hii story ungepeleka kipindi cha njia panda clouds ingeuza sana endapo ungekuwa umefulia kimaisha.maana wale mwisho wa siku lazima mleta stori aombe msaada,tatizo we wakishua