Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 881
- 942
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝, msimuliaji na story yenyewe naipa nyita tanoMkuu mbona stori imeisha. Endelea kupitia episode zote mkuu. Leo ndio nimehitimisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝, msimuliaji na story yenyewe naipa nyita tanoMkuu mbona stori imeisha. Endelea kupitia episode zote mkuu. Leo ndio nimehitimisha.
Nitawafunga.Hii story bongo muvie wataifanyia Kazi😁😁
Mkuu, nammiss sana huyu mwanamke. Huwa siamini kama kweli alifariki. Huwa ananiijia ndotoni na kupiga stori. Kuna siku niliota tupo sehemu flani hivi. Nikawa namuuliza "mbona niliambiwa umefariki?" We acha tu mkuu.Hapo ukirudisha miaka nyuma time travel unakutana na khumbu sisi wazee wa meditation tunawezaga hizi mambo
Au huenda asingefariki. Kuwepo kwake bongo kungemwokoa na kifo.Ungemleta bongo angekufia huku ungetia adabu
Duuh aisee huyo dem mlipendana sana......Mkuu, nammiss sana huyu mwanamke. Huwa siamini kama kweli alifariki. Huwa ananiijia ndotoni na kupiga stori. Kuna siku niliota tupo sehemu flani hivi. Nikawa namuuliza "mbona niliambiwa umefariki?" We acha tu mkuu.
Kipindi nipo naye nilikuwa naamini ananipenda lakini kwa sasa baada ya kuwaelewa wanawake vizuri ndio nimezidi kuamini hakika alikuwa ananipenda sana.Duuh aisee huyo dem mlipendana sana......
Mh ikowapi mbona naona mwisho34 hapo juuMkuu mbona stori imeisha. Endelea kupitia episode zote mkuu. Leo ndio nimehitimisha.
Hakika kwa mujibu wa stori nilivyosoma demu alikuwa anakupenda.......Kipindi nipo naye nilikuwa naamini kama ananipenda lakini kwa sasa baada ya kuwaelewa wanawake vizuri ndio nimezidi kuamini hakika alikuwa ananipenda sana.
34 ni pale moderator walipoishia kuziweka episode page ya kwanza ili iwe rahisi kwa wasomaji kuifuatilia stori. Nadhani walichoka kuendelea kuziweka zote hapo. Kwa hiyo zilizofuatia zitafute huko mbele utazikuta.Mh ikowapi mbona naona mwisho34 hapo juu
asante kwa hii story...wale wanao bado wanapiga mishe za drugs??Pressure ya kuandika stori imekwisha maana mlichokitaka nimewapa. Sasa nipo hapa kujibu maswali ya nyongeza. Karibuni.
Bongo nilikuwa kwenye penzi zito na mwanamke mwingine, pia nilikuwa na majukumu mengi sana.Hakika kwa mujibu wa stori nilivyosoma demu alikuwa anakupenda.......
nimesikitika kwanini hukumruhusu aje bongo....
Sawa mkuu umeeleweka japo mm bado nasikitika pengine angekuja bongo mtoto wa watu angekuwa bado yupo hai......Bongo nilikuwa kwenye penzi zito na mwanamke mwingine, pia nilikuwa na majukumu mengi sana.
South Africa nilienda nikiwa na miaka 20. Nilirudi nikiwa na miaka 28 kama sio 29.Story niliiacha kwanza itembee, rasmi nikaanza kuisoma tar 1 mwezi huu.
Hii yote ni kuepuka mambo ya nitaendelea. Nikiona story ni huwa siifungui naiacha kama mwezi hivi nikija kuipitia naipitia yote.
Konda msafi hongera na pole.
Japo kipindi naisoma hapo katikati ulitaka kuikatisha, nilifurahi nilipoendelea kufungua page nikakuta umeamua kuimalizia.
Ningependa kujua ulienda south ukiwa na umri gani? Na ulirudi ukiwa na umri gani?