konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #3,221
Mkuu mimi sio wa kishua. Bado napambana na maisha.Hii story ungepeleka kipindi cha njia panda clouds ingeuza sana endapo ungekuwa umefulia kimaisha.maana wale mwisho wa siku lazima mleta stori aombe msaada,tatizo we wakishua
Hata Mo na Bakhresa still wanapambanaMkuu mimi sio wa kishua. Bado napambana na maisha.
Shukrani mkuu.Hongera kwa stori nzuri na yakusisimua mkuu konda
It up mm a bc look forward for in im pLugha ya Kiswahili umeijulia wapi?
Mzee wa ubwabwa una nini lakini? Haya nenda inbox nimekutumia picha ya Khumbu labda utaacha kuniandama.Hata Mo na Bakhresa still wanapambana
hahahahahhahaMzee wa ubwabwa una nini lakini? Haya nenda inbox nimekutumia picha ya Khumbu labda utaacha kuniandama.
Hapana, sijuti kurudi Bongo. Naombea tu JPM aijenge nchi iwe kama SA ili raha za SA tuzipate hapa hapa nyumbani. Nyumbani kuna raha yake ujue. Ukiwa na hela bongo unaenjoy life mara mia kuzidi SA.
Kama ulishawahi kufika SA ulishawahi kukuta demu wa kisauzi ana mguu mbovu? Demu wa kisauzi anaweza kukosa vyote lakini sio mguu.Ahaaa picha ya Khumbu ukiiweka utajuta wabongo walivyo watamponda sana marehemu ,utasikia miguu yenyewe mibaya ,
kuna sehemu umesema ungebaki south ungekua mbali.....nikajua unajutaHapana, sijuti kurudi Bongo. Naombea tu JPM aijenge nchi iwe kama SA ili raha za SA tuzipate hapa hapa nyumbani. Nyumbani kuna raha yake ujue. Ukiwa na hela bongo unaenjoy life mara mia kuzidi SA.
Ukweli ndio huo. Ningeendelea kubaki SA ningekuwa mbali zaidi kimaisha lakini haimaanishi najuta kuwepo nyumbani.kuna sehemu umesema ungebaki south ungekua mbali.....nikajua unajuta
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu. Huko labda nitaenda kuangalia kaburi la Khumbu tu nakusema sala juu ya kaburi lake.Vipi hauna mpango wakwenda tena ukatuletee Khumbu mwingine?
Anhaaa yupo ndioPale Keko nasikia Chaduma yupo. Vipi anaendelea kuuza chapati? Just kidding. Nashukuru kwa kunipa hongera mkuu.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]yan kila nikisoma hii nakumbuka penz la mtoto alikuwa anasoma loyola alikuwa msambwanda wa hatari ukipita nae ubungo kwa miguu utapata tabu sana kipindi hicho nipo mkoani nilikuwa namfuata dar naish nae kinyamwezi alikuja kulizima penz kimasihara sana iliniuma *****, siji kusahau, mtoto alikuwa mtamu sana daaah kala sana hela zangu za loans board saivi nazilipa mwenyewe....Yule angenikuta kipind hiki ningemvuruga sana..nilimla sana ila naonaga kama haikutosha...
The way Unaagana na Khumbu ile feeling ya Kurudi Tz huku ukiwa na Huzuni, I'm just thinking ofMzee mbona umequote kipande ambacho hata hakiongelei maisha yangu? Wapi panahuzunisha hapo?
Okay.The way Unaagana na Khumbu ile feeling ya Kurudi Tz huku ukiwa na Huzuni, I'm just thinking of