Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

ata ivo jamaa nae ametoa code mno brother umeshindwa hata kubadilika na na kuficha kbsa code zote mhimu na pia majina ya wahusika?
 
Acha nipunguze mzigo kidogo maana kisa bado ni kirefu. Nilikuwa nimepanga nikiendeleze kesho lakini nimeona kuna matukio mengi mngependa kuyasikia.

Haya twende kazi.
Baada ya kupata hiyo msg akisema I will see you in court nikaona hapa naweza kujikuta matatani kimasihara sihara tu. So nikawa nasubiria kukuche ili nijue kama natumiwa wazee waje wanikamate au la. Kutokana na hofu ya kukamatwa sikutaka tena kumtafuta. Niliamua kukaa kimya kwanza unless yeye ndio aanze kunitafuta. Roho iliendelea kuniuma kumkosa Khumbu maana kama mpaka kafikia hatua ya kunipeleka mahakani it means she is fed up with me. Hivyo chance ya kurudiana itakuwa ndogo sana. Nilienda chuo huku nikiwa nasikilizia kama pira litatia timu chuoni. Muda ukazidi kwenda bila kupigiwa simu au kupata msg kutoka polisi. Nikaona alikuwa anatishia tu lakini nilikuwa bado nina wasiwasi.
Hali ya kutokutafutana ilidumu kama mwezi au miezi miwili (sikumbuki vizuri maana ni muda sasa).
Siku moja nipo town, nikaamua acha niingie shopping mall ya hapo workshop, lahaulah! Ile natembea kwenye passage ya kuelekea kwenye supermarket moja inaitwa Pick n Pay kwa mbele kama meter 100 hivi nikamuona demu mkali anakuja uelekeo wangu yaani tunakutana akiwa na jamaa mmoja hivi. Kipindi hicho ilikuwa kipindi cha winter, huyo demu alikuwa amevaa jeans dark blue, boot flani ndefu zinazovaliwa kipindi cha winter, kwa juu kavaa jacket flani limemkaa vizuri. Unajua mwanamke mzuri ukimuona hata kwa mbali unaona tu hiyo pisi ni kali. Kwa sababu tulikuwa tunakutana haikuchukua hata sekunde 5 kung'amua kumbe hii pisi kali ni Khumbu, dah! Nilitamani nile u-turn ya nguvu ili nisikutane naye but it was too late. Khumbu bana alikuwa na jamaa wamezungushiana mikono viunoni huku wakitembea taratibu wanakula sijui vitu gani, walikuwa wanatoka pick n pay. Kumbe na yeye alikuwa ameniona maana tulipokuwa tunapishana alionekana kama anasita hivi kutembea huku tukiwa tumegonganisha macho hadi yule jamaa nikamwona kama anamsubiria dizaini flani hivi maama ni kama alipunguza mwendo waliokuwa wanatembea. Basi tukaishia kuangaliana, Khumbu na msela wakaendelea na safari yao. Hapo mimi akili ilivurugika kabisa,ghafla nikajikuta naanza kulengwa lengwa na machozi. Nikatoka nje ya mall nikaenda kwenye park (garden) nikakaa nikaanza kulia. Machozi yalikuwa yanatiririka tu bila kupenda. Baadae nikajizoazoa na kuanza safari ya kurudi nyumbani. Ila baada ya hilo tukio kuliona nikajiapiza Khumbu lazima nimle tena, hata kama sio kummliki jumla lazima nimle hata kwa mara ya mwisho, nikimpata nitamfanyia kitu ambacho hajawahi kufanyiwa, nitamla hata vile visivyoliwa. It is just a matter of time.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unalizwa mapenzi tena we jamaa vipi ?
[emoji16][emoji16][emoji16]kawaida Sana hiyo mkuu ..kulia pale unapoumizwa iwe na mapenzi au chochote Ni afya inapunguza sonona ...so mkuu usione aibu au haya kulia ..wewe ukiumizwa iwe na mapenzi au maisha kwa ujumla Lia sana tu ... Lakini kwa kuwa wewe Ni mwanaume tafuta sehemu isiyo na watu ndio ulie maana ukilia mbele za watu itakuwa unatafuta kuchekwa
 
Kwenye mwendelezo usisahau kukazia hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......kereng'ende kabisaa...! Firigisi kabisaaaaa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nami ndio nimemaliza uzi wote muda huu. Mapenzi ni usenge kweli, yanaweza yakakufanya upoteze kitu muhimu kisa mbunye.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mapenzi Ni [emoji706][emoji706]
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana ,mimi niliwahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Lesotho na Swaziland kwa majina yao Liakae Mafatle na Nkhosinathi Maphalala kati ya mwaka 1995 -2000 hapa Tanzania.
Tabia za wanawake wa kusini mwa afrika

1.Wanajua sex level ya juu sana ukilinganisha na watanzania
2.Wana shepu kali sana
3.Wanajua kupenda
4.Wanakunywa Pombe sana na kuvuta sigara
5.Ni wakorofi sana
6.Ni Rahisi kuliwa na rafiki zako,wao sex na kubadilishana wapenzi ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano hata kama anakupenda kiasi gani
Demu unagombana nae asubuhi jioni unamkuta kahamia Floor ya chini ya mtu mnaye ishi nae kwenye flat 1 ... Mademu wa ukanda ule Ni nyoko ..ukiishi SA ukirudi bongo mademu Hawa wezi kukupasua kichwa Aisee ... Kule Kuna watu wamevurugwa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Demu unagombana nae asubuhi jioni unamkuta kahamia Floor ya chini ya mtu mnaye ishi nae kwenye flat 1 ... Mademu wa ukanda ule Ni nyoko ..ukiishi SA ukirudi bongo mademu Hawa wezi kukupasua kichwa Aisee ... Kule Kuna watu wamevurugwa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Duh
 
konda msafi mkuu kwanza nafurahi kwa sababu sasa nimefika kileleni mwa ligi(stori) naomba ufate ushauri wa Emmanuel Kasomi wa kutembea kwa episode ili iwe rahisi mtu kujua nipo ya ngap?
 
picha ikitupiwa humu,lazima wabongo watoe kasoro sana.

watakueleza mbona demu wa kawaida sana.

kuna mapimbi hayajui kutofautisha picha za Photoshop na zile za kupiga kawaida

kuna mademu n pisi kali sana,lakini ukimpga picha ya kawaida anaonekana wa kawaida

nakushauri konda msafi,usitupie picha,tuache tuendelee kutengeneza picha zetu vichwani,ndo tunaupata utamu wa khumbu
Nakubaliana nawewe
 
Back
Top Bottom