Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
[emoji3][emoji3][emoji3] Huko Hatufiki kkaSangapi tunahamia Telegram?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] Huko Hatufiki kkaSangapi tunahamia Telegram?
Very True MkuuDemu unagombana nae asubuhi jioni unamkuta kahamia Floor ya chini ya mtu mnaye ishi nae kwenye flat 1 ... Mademu wa ukanda ule Ni nyoko ..ukiishi SA ukirudi bongo mademu Hawa wezi kukupasua kichwa Aisee ... Kule Kuna watu wamevurugwa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Aiyaaa....ila wasouth wana majina ya ajabu eti nomfundo..😂😂😂Interesting story,mimi nina yangu na binti wa kisauz anaitwa Nomfundo bahati mbaya sio mwandishi mzuri.
Hili mara ya kwanza nimelishuhudia Bukoba. Jamaa yetu aliyekuwa anamega akaanza kumwambia, daah "N" utatuua 🤣🤣🤣Demu unagombana nae asubuhi jioni unamkuta kahamia Floor ya chini ya mtu mnaye ishi nae kwenye flat 1 ... Mademu wa ukanda ule Ni nyoko ..ukiishi SA ukirudi bongo mademu Hawa wezi kukupasua kichwa Aisee ... Kule Kuna watu wamevurugwa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Andika tu hivyo hivyo Mkuu..[emoji23]Interesting story,mimi nina yangu na binti wa kisauz anaitwa Nomfundo bahati mbaya sio mwandishi mzuri.
Acha unaa tungemjuaje khumbu?ata ivo jamaa nae ametoa code mno brother umeshindwa hata kubadilika na na kuficha kbsa code zote mhimu na pia majina ya wahusika?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manzi alikuwa ana wachanganya !?Hili mara ya kwanza nimelishuhudia Bukoba. Jamaa yetu aliyekuwa anamega akaanza kumwambia, daah "N" utatuua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naahidi ndugu zangu Mimi kama katibu mkuu naahidi kumleta huyo mama aliemtesa ndugu yetuLeo tumeamua km sandle amepatikana team ya jf iko mbioni kumleta khumbu aje ajibu mashitaka ya jaribio la kuua Mtanzania kwa kukusudia !!!!!!!
[emoji16][emoji16][emoji16] Tena sio demu tu uliyekuwa unapiga ili upite noooo ..Ni demu ambaye mlikuwa mko falling in love na mnamalengo makubwa ya kimaisha ...dahhh watu wakule hapana aisee hawako loyal kabisa yaaniVery True Mkuu
Yaajabu vipi Sasa !? [emoji16] Unasema yaajabu kwakuwa haujui tafasiri yake'Aiyaaa....ila wasouth wana majina ya ajabu eti nomfundo..[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] hawezi kutukatili kiasi hicho [emoji16]Andaa buku Mzee![emoji1]
Yaani mfano demu ni wako. Lakini unashangaa siku nyingine unamwona huyo anakuja anaingia chumba kingine, akitoka macho mekundu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manzi alikuwa ana wachanganya !?
Never.[emoji16][emoji16][emoji16]kawaida Sana hiyo mkuu ..kulia pale unapoumizwa iwe na mapenzi au chochote Ni afya inapunguza sonona ...so mkuu usione aibu au haya kulia ..wewe ukiumizwa iwe na mapenzi au maisha kwa ujumla Lia sana tu ... Lakini kwa kuwa wewe Ni mwanaume tafuta sehemu isiyo na watu ndio ulie maana ukilia mbele za watu itakuwa unatafuta kuchekwa
Aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani mfano demu ni wako. Lakini unashangaa siku nyingine unamwona huyo anakuja anaingia chumba kingine, akitoka macho mekundu.
Maana tulikuwa tunaishi kwenye jengo la ghorofa 4 familia kibao.
SawaNever.
Yaan so cute kwa kweli[emoji177][emoji177]I love seeing men madly inlove like this. They become soo cute[emoji3059]
Lakini Ni hatari kwa afya ya mwili na akili ya sisi wanaumeYaan so cute kwa kweli[emoji177][emoji177]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmk mapenzi yakikolea unakua chiziTunaendelea,
Guess what happened baada ya Khumbu kunikimbia?
Nikiwa nimerukwa na akili baada ya kushuhudia hicho kitendo cha kutokwa nduki na demu mara simu yangu ikaita, kucheki nani ananipigia, namkuta msela wangu wa workshop ndio anapiga. Nikawa najiuliza sijui nipokee au nisipokee, maana kwa muda ule nilitakuwa kutosumbuliwa na chochote. Akili ilikuwa kama imeduwaa hivi halafu nipo kwenye maumivu makali. Simu ikazidi kuita non stop. Nikaona acha nipokee nijue jamaa anataka kusemaje. Baada ya kupokea akaanza kucheka, nikawa najiuliza huyu anacheka nini? Nikaona kama anazingua bangi tu, jamaa akaacha kucheka akaniambia "vipi wa kusoma umemfanyaje Khumbu? Nikapigwa na butwaa, mambo ya Khumbu ameyajuaje huyu. Jamaa akaendelea kusema Khumbu huyu hapa anasema amekukuta kama umechanganyikiwa hivi? ....Simu imeisha chaji baadae.
Lakini Ni hatari kwa afya ya mwili na akili ya sisi wanaume