Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Republic of South Africa(RSA) ndio inayoongoza kwa wagonjwa wengi wa ukimwi wanaotumia dawa za kufubaza virusi Africa.Vipi kasi ya UKIMWI huko?
Tatizo mtu anastress zake anahamishia huku, utadhani amemuajiri kuandika huu uzi,Aisee hekima muhimu broh ... Mtu kaamua kuleta story inayohusu maisha yake' bando lake .. device yake' bado mumtukane .. aisee sio fair Ni vyema kama mtu amekosea mahali Basi mkatumia maneno ambayo sio makali kumrekebisha
Inashangaza SanaTatizo mtu anastress zake anahamishia huku, utadhani amemuajiri kuandika huu uzi,
Inashangaza SanaTatizo mtu anastress zake anahamishia huku, utadhani amemuajiri kuandika huu uzi,
Ndio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787]asee hii kali ..kwa hiyo kule ukiwa na kiherehere cha kupenda unaweza kujiua
He he he are u this too? Many congrats... when ur woman smiles, the whole world smiles for u too[emoji3059]Huyu unanisema mimi kabisa yaani![emoji847]
Asantekonda msafi picha husika imeondolewa.
Du ndio kwenye huu mjengo mwenyekiti alipolia kifala kisa mzulu khumbu ,na huyo miwani ndio nani?
😅😅 tusamehe haturudiii tenaAlie post hiyo picha ya sandilie ana kichwa kama hips za kubu ...
Wanapenda sana majina yao ya asili hadi rahaAiyaaa....ila wasouth wana majina ya ajabu eti nomfundo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ndie khumbu mkheziDu ndio kwenye huu mjengo mwenyekiti alipolia kifala kisa khumbu,na huyo miwani ndio nani?
Inaenda both waysInaonesha watanzania tunaumizwa sana na hawa viumbe wa ardhiiii ya sauzeee eeh
Acha kali kama ncha kaliKwenye mwendelezo usisahau kukazia hapo.
Sawa sawa , nitaleta yangu siku na mimi nkhumbulane akinilizaInaenda both ways
Mpaka wanafunzi ni visketi vifupiDurban na SA bwana wananichanganya tu na ule uvAaji wao wa sketi fuuuupi.
Ipo siku nitamkula mmoja
Usisahau kutuletea story 😜Duu umenikumbusha mbali, Rotondwa popote ulipo ubarikiwe