Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Aisee hekima muhimu broh ... Mtu kaamua kuleta story inayohusu maisha yake' bando lake .. device yake' bado mumtukane .. aisee sio fair Ni vyema kama mtu amekosea mahali Basi mkatumia maneno ambayo sio makali kumrekebisha
Tatizo mtu anastress zake anahamishia huku, utadhani amemuajiri kuandika huu uzi,
 
Back
Top Bottom