Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Demu unagombana nae asubuhi jioni unamkuta kahamia Floor ya chini ya mtu mnaye ishi nae kwenye flat 1 ... Mademu wa ukanda ule Ni nyoko ..ukiishi SA ukirudi bongo mademu Hawa wezi kukupasua kichwa Aisee ... Kule Kuna watu wamevurugwa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Very True Mkuu
 
Hili mara ya kwanza nimelishuhudia Bukoba. Jamaa yetu aliyekuwa anamega akaanza kumwambia, daah "N" utatuua 🤣🤣🤣
 
Leo tumeamua km sandle amepatikana team ya jf iko mbioni kumleta khumbu aje ajibu mashitaka ya jaribio la kuua Mtanzania kwa kukusudia !!!!!!!
Naahidi ndugu zangu Mimi kama katibu mkuu naahidi kumleta huyo mama aliemtesa ndugu yetu

Khumbu khumbu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] manzi alikuwa ana wachanganya !?
Yaani mfano demu ni wako. Lakini unashangaa siku nyingine unamwona huyo anakuja anaingia chumba kingine, akitoka macho mekundu.

Maana tulikuwa tunaishi kwenye jengo la ghorofa 4 familia kibao.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kawaida Sana hiyo mkuu ..kulia pale unapoumizwa iwe na mapenzi au chochote Ni afya inapunguza sonona ...so mkuu usione aibu au haya kulia ..wewe ukiumizwa iwe na mapenzi au maisha kwa ujumla Lia sana tu ... Lakini kwa kuwa wewe Ni mwanaume tafuta sehemu isiyo na watu ndio ulie maana ukilia mbele za watu itakuwa unatafuta kuchekwa
Never.
 
Yaani mfano demu ni wako. Lakini unashangaa siku nyingine unamwona huyo anakuja anaingia chumba kingine, akitoka macho mekundu.

Maana tulikuwa tunaishi kwenye jengo la ghorofa 4 familia kibao.
Aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi Nina jamaa yangu 1 aliwahi kumcheat manzi wake wa ki-south demu alimvizia jamaa kavua nguo akamchoma na pasi ya Moto mgongoni hakuishia hapo akaenda kupasua na vioo vya gari yake' .... [emoji16][emoji16][emoji16].

Wana kufanyia madrama halafu hakuna utakacho mfanya yaani
 
Tunaendelea,
Guess what happened baada ya Khumbu kunikimbia?
Nikiwa nimerukwa na akili baada ya kushuhudia hicho kitendo cha kutokwa nduki na demu mara simu yangu ikaita, kucheki nani ananipigia, namkuta msela wangu wa workshop ndio anapiga. Nikawa najiuliza sijui nipokee au nisipokee, maana kwa muda ule nilitakuwa kutosumbuliwa na chochote. Akili ilikuwa kama imeduwaa hivi halafu nipo kwenye maumivu makali. Simu ikazidi kuita non stop. Nikaona acha nipokee nijue jamaa anataka kusemaje. Baada ya kupokea akaanza kucheka, nikawa najiuliza huyu anacheka nini? Nikaona kama anazingua bangi tu, jamaa akaacha kucheka akaniambia "vipi wa kusoma umemfanyaje Khumbu? Nikapigwa na butwaa, mambo ya Khumbu ameyajuaje huyu. Jamaa akaendelea kusema Khumbu huyu hapa anasema amekukuta kama umechanganyikiwa hivi? ....Simu imeisha chaji baadae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmk mapenzi yakikolea unakua chizi
 
Back
Top Bottom