MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Stori itaendelea mzee baba.Jamaa ametukosesha story yetu kuendelea
Dah bro mapema tu unamwagilizia moyo na kitu cha vladimir....... Mambo yangu hayo kubabakeView attachment 1700740 one love [emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Upo sahihi na ukitaka kujua upo sahihi, ukimaliza tu hiko kitendo hata kama pisi ni kali kiasi gani anza kukifikiria ulichokifanya utaona ni very short excitement na gafra inatoweka.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mapenzi Ni [emoji706][emoji706]
Naam Kuna Wakati pia unajutaUpo sahihi na ukitaka kujua upo sahihi, ukimaliza tu hiko kitendo hata kama pisi ni kali kiasi gani anza kukifikiria ulichokifanya utaona ni very short excitement na gafra inatoweka.
Upo sahihi na ukitaka kujua upo sahihi, ukimaliza tu hiko kitendo hata kama pisi ni kali kiasi gani anza kukifikiria ulichokifanya utaona ni very short excitement na gafra inatoweka.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo namba saba hapo umenisikitisha kamanda...UNASHINDWAJE SASA....?DAAAH HAMNA MSAADA TUNAWEZA TOA?HATA WA KUKUSAIDIA....[emoji16][emoji16][emoji16]
Muda huo wakati unasubiria ye anakuchukulia kuwa kama mwanaume wa Dar😂😂Ni kama tu chakula ukishiba, tulia kidogo njaa ikupige tena!
Mkuu Arosto zimejaa kama uko free unaweza shusha hata moja tuendelee kupunguza ukiherehereStori itaendelea mzee baba.
85% ya wabongo wako na stress tena high level stress, utakuja kunielewa baadae.Tatizo mtu anastress zake anahamishia huku, utadhani amemuajiri kuandika huu uzi,
Daaah booonge la mall hili.Hiyo hpoView attachment 1700812View attachment 1700813View attachment 1700814View attachment 1700815View attachment 1700816
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaa mkuu hata mm nimeanza nayo ofisini Hadi mda huu Niko home Kwa bed nasonga nayo.jamaa anajua kupangilia visaHii story ya Khumbu itanivunjia ndoa yangu wazee....nimeanza nayo ofisini ,wife kaipitia ofisini kunipick twende home nimemwambia anisaidie kudrive ili niendelee kusoma habari ya khumbu....nimeingia home, nimeoga fasta,nimekula kaa ushahidi tu kuepusha maneno na wife nimekamata simu natafuta next episode ya kumbu, wife kanuna balaa...hapendi nishike simu usiku ...kumuonyesha story ya khumbu sitaki..nimemuacha anune apasuke tutasolve kesho,leo sitaki usumbufu kwenye khumbu story...ni episode baada ya episode
Yaan leo uliifanya siku yangu iwe tulivu Sanaa kwa kufatilia story mkuu nilitamani snaa uendelee maana Leo sikwenda kazini hivyo nilikua nafatilia story nukta hadi nukta mkuu,Stori itaendelea mzee baba.
South Africa siyo 'Africa' kabisa ile.Hiyo hpoView attachment 1700812View attachment 1700813View attachment 1700814View attachment 1700815View attachment 1700816
Sent from my Infinix X680 using