Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hiyo hpo
images%20-%202021-02-12T160519.782.jpg
images%20-%202021-02-12T160529.498.jpg
images%20-%202021-02-12T160539.939.jpg
images%20-%202021-02-12T160557.828.jpg
images%20-%202021-02-12T160617.384.jpg


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hii story ya Khumbu itanivunjia ndoa yangu wazee....nimeanza nayo ofisini ,wife kaipitia ofisini kunipick twende home nimemwambia anisaidie kudrive ili niendelee kusoma habari ya khumbu....nimeingia home, nimeoga fasta,nimekula kaa ushahidi tu kuepusha maneno na wife nimekamata simu natafuta next episode ya kumbu, wife kanuna balaa...hapendi nishike simu usiku ...kumuonyesha story ya khumbu sitaki..nimemuacha anune apasuke tutasolve kesho,leo sitaki usumbufu kwenye khumbu story...ni episode baada ya episode
Hahahahaaaa mkuu hata mm nimeanza nayo ofisini Hadi mda huu Niko home Kwa bed nasonga nayo.jamaa anajua kupangilia visa
 
Stori itaendelea mzee baba.
Yaan leo uliifanya siku yangu iwe tulivu Sanaa kwa kufatilia story mkuu nilitamani snaa uendelee maana Leo sikwenda kazini hivyo nilikua nafatilia story nukta hadi nukta mkuu,
 
Back
Top Bottom