Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Big up mkuu. We ni mwandishi mzuri. Una kipaji cha uandishi wa stori.
 
Kumekucha

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo zuri ulipenda hasa, ila nimewaza tu inawekezakana Khumbu alikupa limbwata la limpopo, Wala si mbali na South wanashuka tu kilifuata
 
Dah.... Aisee sijajua huko ghetoni itakuwaje!! Khumbu maji ataita mma......kwa jinsi ulivyokuwa na usongo ingebidi upate walau vumbi la kongo ili umkomeshe..
 
"Kila nikimwangalia kichwa cha chini kilikuwa kinatema vimajimaji nikajikuta kama naanza kujichafua"!😬😬😬
 
Uzi bora ma mwezi huu yaaaaani nimecheka kwa sauti mi namuomba jamaa aje tupange maandamano S.A watupe shemeji yetu wakuitwa Khumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…