Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nilikaa hapo kama mwezi hivi kabla sijamleta Khumbu. Nilipoyazoea mazingira na kujiridhisha kuwa haitakuwa issue sana kumleta Khumbu kwenye huu mjengo kikubwa tu nizingatie protocal nilizoambiwa na washikaji. By the way ilikuwa ni complex kubwa. Walikuwa wanaishi watu wa kada mbalimbali. Kwa mfano jirani yetu alikuwa ofisa wa polisi mkubwa tu na alikuwa mtu wa stori sana. Alikuwa mshabiki wa machester united, pia sie mle ndani wote tulikuwa mashabiki wa Man u, enzi za akina Sir Elex Furgason. Siku Man U inacheza jirani yetu alikuwa hachoki kutugongea mlango kuja kushangilia ushindi pamoja. Pia ndani ya hiyo complex kulikuwa na mademu wawili pisi kali mtu na mdogo wake. Mdogo mtu nilipita naye ila mahusiano hayakudumu, nilimpiga chini fasta tu.
Siku moja nipo chuo nikaamua kumpigia Khumbu. Nikamwomba aje chuoni kuna kitu nahitaji kuongea naye. Kweli bila hiyana akakubali na akapanga atakuja kesho yake maana kwa leo ana ratiba zingine, nikaona kesho sio mbali, acha nivute subira.
Kesho yake mida kama ya saa nne asubuhi akanipigia ananiambia tayari keshafika chuoni. Nikatoka nje kumfuata maana chuoni huwezi kuingia bila kitambulisho cha chuo. Mageti ya chuoni yalikuwa yanafunguliwa kwa kutumia kitambulisho cha chuo. Kitambulisho cha chuo kilikuwa kipo kama kadi ya ATM hivyo kuingia lazima u-swipe ndio geti lifunguke. Nikamfuata tukaingia na kuelekea kwenye mghahawa wa chuo (cafeteria). By the way Khumbu hakuwa mgeni na maeneo ya chuo maana alishawahi kuja pale mara nyingi tu kipindi niko mwaka wa kwanza, hata siku ya kujisajili nilikuwa naye.

Nikaanza kumweleza kuwa kwa sasa maisha aliyokuwa anayataka ninayaishi. Nikamkumbusha maneno yake aliyoniambia siku ile "South African girls need money". Kwa hiyo turudiane tu ili kama kweli tunapendana tuone maisha yatatupeleka wapi. Nikamwelekeza sehemu ninayoishi kwa sasa. Kitendo cha kusikia hiyo sehemu ninayoishi alionyesha kubigwa na butwaa. Akaanza kuniuliza imekuwaje nimeweza kuishi kwenye suburb kama hiyo? Nikamwelezea nimeweza kuishi kwa hisani ya jamaa zangu wa workshop pia nikamwambia nina mishe zangu pia zinazoniingizia kipato. Kwa kuwa alikuwa anawafahamu wale masela wangu haikuwa shida kunielewa na hakuendelea kunidadisi sana. Nikamwomba twende zetu mjengoni. Sikutaka tena kuendelea kubaki chuo maana nilikuwa na hamu naye kinyama. Na kwa jinsi alivyokuwa amezidi kunona kila nikimwangalia nilikuwa najisemea kwa sauti ya jiwe "hiiiii baghosha". Sio siri Khumbu alikuwa kazidi kuwa mrembo mara dufu. Sijui ni fala gani alikuwa anammliki mwenye fedha zake maana kwa muonekano wake na pamba alizokuwa kapigilia ilionyesha kuna mtu mwenye hela anamgharamikia. Kila nikimwangalia kichwa cha chini kilikuwa kinatema vimajimaji nikajikuta kama naanza kujichafua. Mie machine ikisimama halafu nikiwa na uchu, machine huwa inatoa vimajimaji vyeupe vya kuteleza kama mlenda unavyoteleza.
Tukainuka hapo kuelekea kituoni kupanda daladala ya kwenda geto. Getoni kule kulikuwa na kila kitu kwenye fridge hivyo ilikuwa ni kwenda moja kwa moja bila kupitia supermarket kutafuta msosi. Njiani nilikuwa naona kama hatufiki au anaweza kughairi na safari. Hapo nawaza tu nitakavyomsasambua kiroho mbaya. Nikaanza na kukumbuka kile kiapo nilichojiapiza siku ile workshop niliyomuona akiwa kakamatiwa na mshikaji. Kituo cha kushukia kilikuwa mbali kidogo na getoni, hivyo tulivyoshuka ikabidi tuanze kutembea kuelekea getoni. Hapo ndio nilipoanza kuliona tena tako la kuning'inia kwa mara nyingine. Alikuwa amevaa sketi fupi ya mpira, hizi sketi za kuvutika. Sketi ilikuwa kama imepanda juu kwa kushindwa kuhimili mlima uliokuwa huko nyuma. Yaani kila nikimwangalia nasema hiii huyu atanikoma. Tukafika getini, uzuri nilikuwa pia nina rimoti ya kufungulia geti hivyo tukaingia kwenye complex kimya kimya bila mtu kutuona, kama ni kutuona labda ni kwenye camera maana hiyo complex ilikuwa na cctv camera.

Itaendelea..
Big up mkuu. We ni mwandishi mzuri. Una kipaji cha uandishi wa stori.
 
Kumekucha

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo zuri ulipenda hasa, ila nimewaza tu inawekezakana Khumbu alikupa limbwata la limpopo, Wala si mbali na South wanashuka tu kilifuata
 
Dah.... Aisee sijajua huko ghetoni itakuwaje!! Khumbu maji ataita mma......kwa jinsi ulivyokuwa na usongo ingebidi upate walau vumbi la kongo ili umkomeshe..
 
"Kila nikimwangalia kichwa cha chini kilikuwa kinatema vimajimaji nikajikuta kama naanza kujichafua"!😬😬😬
 
View attachment 1699842. Imekuja milima tu kubabeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] waiter niongezee Konyagi kubwa #Khumbu ila jamaa ulikuwa unafaidi sana, nawawazi hawa Khumbu wetu muzungushanee weeee ndani kama wahindi vile, mara kojoleo linyweee kwa maudhi mpaka mission inakuwa possible unajiapiza si rematch tena [emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]🤣🤣🤣🤣[emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji481][emoji481]
Uzi bora ma mwezi huu yaaaaani nimecheka kwa sauti mi namuomba jamaa aje tupange maandamano S.A watupe shemeji yetu wakuitwa Khumbu
 
Back
Top Bottom