Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Khaaaa unajua kupekenyuaaa mzibe uso umlete
 
Ni jambo zuri ulipenda hasa, ila nimewaza tu inawekezakana Khumbu alikupa limbwata la limpopo, Wala si mbali na South wanashuka tu kilifuata
Kuna dude linaitwa korobelo ukilishwa umeisha.
 
Muda wa watoto kulala sasa[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]100%
 
Kuanzia juzi hapa JF pamekuwa patam sana, kuna nyuzi kama 3 hivi nkiingia lazima nizipitie.
1.hii ya khumbu
2.Jamaa anaye mkataa mtoto rasmi.
3.ya mzee wetu Mwitore na bi mdogo wake.

Yaani mambo ni Hot no Stress.
Kweli jamaa anayemkataa mtoto anasikitisha ktk stori tamu kama hii
 
Hii nayo nitamu hatari
 
Sasa hivi nashinda kwenye huu uzi, ule uzi wa Kula tunda kimasihara siutembelei mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…