Amalizie story bana ishakuwa ndefu Sana episode aziongezee urefuEti kama anakung'uta kukunguni duuh ngoja nikaogo nitarudi jioni maana Khumbu atabaki kuwa Khumbu
[emoji81][emoji81]Mambo yanaanza kuwa mazito haya, printer atakubalii kukichapisha hiki kitabu?
[emoji23][emoji23] bhana pumzi mkuu usipumue kwa sekunde kadhaa fanya hivyo kwa kurudia mara nyingi hadi mashine italala yenyeweNipo kwenye daladala machine imesimama kushuka naona noma.
Done mkuu[emoji736]Naomba ufute hii picha mkuu.
Umeona eehKuna mda uu uzi unatia genye[emoji28] [emoji28][emoji28]
Umeona kukung'uta kunguni [emoji23][emoji23][emoji23] unaeza sema umesikia vyote huku ulimwenguni kumbe bado kabisaMambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Nimesoma kwanzia page ya kwanza mpka sasa
konda msafi khumbu hatuwezi kukuchangia nauli urudi kumfata?
Bado hujafuta.Ohoooh, tumeibukia mtaroni sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mabaharia msisahau jana ilikuwa birthday ya Ryan Corner[emoji851]
Umeona kukung'uta kunguni [emoji23][emoji23][emoji23] unaeza sema umesikia vyote huku ulimwenguni kumbe bado kabisa
Nilijua lazima ufanye rehearsal chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu juzi najifunza style ya kukunguta ..kiuno hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni khumbu aitwe khumbu