Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hapana mkuu. Hiki kisa niliamua nikishare hapa kwa nia safi. Huko telegram hata sipajui. Kwa hiyo hatuwezi kwenda sehemu nisiyoijua.
Mkuu ukielewa umepost jukwaa lipi utagundua hujakiuka chochote, ulikuwa sawa ila kuna watu hapa wanajifanya wamepotea njia wanaanza kujiona wao ndiyo wamekuita uje hapa, kumbe wamekuja wenyewe hawajaitwa na mtu. Ni kama uingie disco na uanze kuzuia muziki usipigwe.

mitano tena!
 
Nimekuelewa mkuu. Uzi utaendelea, acha nipate utulivu kwanza.
 
Nimekuelewa mkuu ila usimlaumu mtu yeyote maana ni mimi tu ndio nimejishitukia. Hakuna aliyenifuata na kunilalamikia.
 
yan kila nikisoma hii nakumbuka penz la mtoto alikuwa anasoma loyola alikuwa msambwanda wa hatari ukipita nae ubungo kwa miguu utapata tabu sana kipindi hicho nipo mkoani nilikuwa namfuata dar naish nae kinyamwezi alikuja kulizima penz kimasihara sana iliniuma *****, siji kusahau, mtoto alikuwa mtamu sana daaah kala sana hela zangu za loans board saivi nazilipa mwenyewe....Yule angenikuta kipind hiki ningemvuruga sana..nilimla sana ila naonaga kama haikutosha...
 
Sasa hii style ya mbuzi kagoma kwenda afu anadunda kama kitenesi na hii ya kung'uta kunguni....nataka kumuelekeza mtu apply naanzaje wakuu..!?[emoji848][emoji23][emoji23]
Subiri tumpigie simu khumbu akuelekeze
 
Kusitisha simulizi kwa kisingizio cha kujisikia vibaya, japo hatujakutuma ila tunaweza kutafsiri kuwa umeanza majivuno na kuvimba.

Utapata laana bwa’mdogo, kujipatia mashabiki wa kaliba yangu sio kitu cha kuletea mzaha hata kidogo.

Bila kupepesa maneno, nimezunguka sana ila lengo ni kukwambia uache ujinga.
 
Kwani we mtoto?
 
Km umenielewa nashukuru mwamba.

Ila usije ukatuletea swagga zako za ki ndezi eti inaendelea kesho na unajua kabisa leo wiki end macho kodo kwenye story.

Fanya Fanya fasta uendeleze story halafu, kama unajua kabisa huandiki mambo ya mapenz, eeehhhh kutanua vile, oooohhh mambo ya kudinyana bora story iishie hapa hapa tunaendelee na harakati zetu za kutongoza hela.

Hii story ni km mkanda wa X tu huwezi kuangalia mkanda wa X halafu usikutane na mambo ya X.

So, shusha mzigo km wote usipunguze maana hapa tupo mapenzini hivyo uzi ukae ki mapenz mapenz ndo utanoga.
Usilete habari zako za kisenge eti umekwazika!
 
Stori inahusu mahusiano yake na mtoto wa kizulu.... Sasa mahusiano gani bila mapenzi?? Ingekuwa stori ya kusaka pesa ama kusoma hapo ungeeleweka....
 
Acheni kumpangia jamaa nn cha kusema na nn asiseme...km mnakwazika kaanzisheni nyuzi zenu zisizokua na mapenzi or mfanye kuskip mkasome nyuzi nyingine..hakuna mtu aliewashikilia shingo msome huu uzi...Mnasoma story ya mwana bure, hamchangii ht senti ila still mnaleta mashatri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…