Huyu ndio mbongo halisi!!Kusitisha simulizi kwa kisingizio cha kujisikia vibaya, japo hatujakutuma ila tunaweza kutafsiri kuwa umeanza majivuno na kuvimba.
Utapata laana bwa’mdogo, kujipatia mashabiki wa kaliba yangu sio kitu cha kuletea mzaha hata kidogo.
Bila kupepesa maneno, nimezunguka sana ila lengo ni kukwambia uache ujinga.
Binafsi nlikwazika [emoji849], maana inabadilisha hata dhamira ya uzi.
Ukifika vipande kama hivyo unaweza sema tu kuwa tukafanya yetu, hapo inaeleweka, sio kuanza kueleza mambo ambayo hayakuwa na umuhim
Kumbuka kumbukumbu zitabaki milele hapa hata ukiwa tayari usharudi kwa Muumbaji Mungu mfalme.
Binafsi nimefurahishwa na kujitambua kwako, na kuwataka radhi wafwatiliaji wa uzi wako huu mzuri.
Kwani ni lazima kuchangia ww boya?Huu uzi ni international!! Hivyo una mashabiki wengi na wa aina tofauti tofauti, hivyo uki balance ni vema zaidi na utabamba kila mtu.
Kwakwambia nani? Mambo ya VVU hayatuhusu sisi ni story, dogo kwani hujui kuwa nzi hufia kwenye kidonda na ogopa sana kupenda na penzi likakufanya ukawa mtumwa kuna watu huwa wanachanganyikiwa na kuacha hata kaziNahisi Khumbu na konda msafi ni waathirika wa vvu maana hata sehemu moja haongei juu ya kings wanapongonka. Kwa nini use huru kiasi hicho hata kama mmepotezana muda mrefu mnacheza peku. 15% ya wasichana ni positive, anyway tuendelee si ajabu hii ni hadithivya kubuni ila anajaribu kuona audience inampokeaje hadithi zake mhusika.
Nimecheka sana, jamaa anaomba msamaha kwa kuingia deep mambo ya chumban, wajuba wanashangaa jamaa anaomba msamaha wa nini, tena wajuba wanasisitiza kipengele cha 071 kibaki kweny stori km kilivyo, tena wengine wamesisitiza kbs akitoa hicho kipengele hawatafuatilia hii stori tena, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji53]
This story is a never miss aiseee the guy has a talent kwenye uandishi amefanya nimekumbuka fasihi andishi na fasihi simulizi.Namshangaa anajutia nini[emoji23][emoji23]
Imagine sisi hatuna neno ila yeye anajutia..
I love some stories aisee...
Pole sana Mkuu Mchuzi umeshaharibu Pilau lote, tulia yakipoa uendelee lkn sijui ukiommit hizo starehe za kitandani utaona mtu watasepa woteNimekuelewa mkuu, niwie radhi. Na pia naomba kwa leo tuishie hapo maana hata mimi akili imevurugika kidogo, nimekosa amani ya moyo. Tutaendelea kesho panapo majaliwa.
Hamna alokwazika kumbhu si hayupo bongo lete hiyo ya kula jicho mkuu usiaache,kuna wengi wanasubiri hicho kipengele[emoji2]Wote mnaofatilia huu mkasa. Naomba niwaombe samahani sana kwa kuongelea mambo ya chumbani. Najisikia vibaya kuwa so explicit. Natamani kuifuta hiyo episod ya chumbani maana najisikia hatia kidogo. Unajua binadamu tuna ile nature flani ya kutambua kama kuna kitu flani umekifanya hakiko sawa kinakufanya ujisikie vibaya. Na huenda humu kuna wasomaji hawajakifurahia hicho kipengele cha mambo ya chumbani, kama wapo naomba wanisamehe na ikiwezekana tunaweza tukawaomba na moderators wakakifuta hicho kipande. Ila kama hakuna mtu aliyekwazika na hicho kipande basi tuendelee na episodi nyingine ingawa mimi binafsi sitaongelea tena mambo ya chumbani. Kwa maana hiyo hata kile kipengele cha 071 zitakielezea tena. By the way hakuna mtu aliyenifata na kuniambia labda hicho kipengele sikutakiwa kukiandika bali ni mimi tu nimejisikia vibaya.
If you're a story lover kama mm tafuta collection ya vitabu vya Mills&Boon (romance, passion, desire and seduction) hautajutia aiseeeNamshangaa anajutia nini[emoji23][emoji23]
Imagine sisi hatuna neno ila yeye anajutia..
I love some stories aisee...
He he he heIf you're a story lover kama mm tafuta collection ya vitabu vya Mills&Boon (romance, passion, desire and seduction) hautajutia aiseee
Especially ukipendwa kama konda alivompenda dada khumbu it's really cute[emoji177]He he he he
Thank you.
Love is a beautiful thing[emoji3059]
Mkuu natumia app ya bure haiwezi kutuma link but kuna jamaa ameshaileta humuMkuu naomba link ya huo uzi wa kukataa mtoto.
MmhHuu uzi ni international!! Hivyo una mashabiki wengi na wa aina tofauti tofauti, hivyo uki balance ni vema zaidi na utabamba kila mtu.
Utanishtua mama kwenye kumchangia nauli watu wanajifanya malaika humuMbona mimi ni mwana Lejio Maria sijakasirika. Wako Moyo Mt. Wa Yesu nao vivyo hivyo... Mama Anna.. wote hatujakasirika kabisa. Labda kama umemkumbuka Khumbu wako tu ukapata uchungu. Ukianza kukusanya nauli nishtue nikuchangie uende kumchukua[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malaika wa zamuUtanishtua mama kwenye kumchangia nauli watu wanajifanya malaika humu
HahahhahaMalaika wa zamu wanafanya ukaguzi wa sredi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na biti zote hizo na maneno machafu ila bado unasoma stori ya jamaa,huna ubavu wa kutokuisoma , kwahio kua mpole na utulie kama makalio ya khumbu ..usimpangie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niendelee kurecord mastaili
Apa nimepata ingine [emoji16][emoji16]
Unaiweka alafu unafanya kama unakung'uta sisimizi ivii [emoji848][emoji16][emoji16]
Naaamkonda msafi kama kuna kitu chochote kitafanya akili itulie tupo tayari kukuchangia story iendelee....Hata ukitaka gari ya Heineken au nasema uongo ndugu zangu.!?
Asipoelezea aliikosaje tigo namfungulia kesi ya kujipatia umaarufu kwa njia ya udanganyifu. Wazee wenzangu tumefuatilia hilo tu kujua vijana huwa mnavifanyeje