Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Alopata picha ya khumbu yenyewe anitumie inbox
 
Hadi hapa hii stori sio yake tena, ni mali ya umma ndo maana tunamhakikishia ulinzi.

Nchi imesimama kazi haziendi kwajili ya uzi huu, jaribio lolote la hujuma hatutalifumbia macho.[emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23] au sio ulinzi mkubwa, halafu asimulie yooote asiende haraka haraka Kuna mijitu inamforce amalize haraka Kama wamechoka wajikatae ndio Kwanzaa tupo story ya mwaka 2009 hadi 2015 bado sanaaaaaa
 
Acha biti maandazi, tulia hivyo hivyo kama makalio ya khumbu! Anaandika kwa mda wake , hujaitwa usome , umejileta mwenyewe kama nyege

Makalio ya khumbu hayatulii, yanakung’uta sisimizi... unasoma na kuelewa?[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…