LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Guys you're not serious at all
Ila umenichekesha mpaka basi kumtag Khumbu wa jf wakati mimi namtaka s.a
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guys you're not serious at all
He he he indeed ....Especially ukipendwa kama konda alivompenda dada khumbu it's really cute[emoji177]
Hahaha ndio ndio. Yaan mkaka akipenda hv anakuaga very innocent trust meUtanishtua mama kwenye kumchangia nauli watu wanajifanya malaika humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo kwenye zamu yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malaika wa zamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niendelee kurecord mastaili
Apa nimepata ingine [emoji16][emoji16]
Unaiweka alafu unafanya kama unakung'uta sisimizi ivii [emoji848][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo kwenye zamu yao
Duh sio kwa kumsifia huku asee,baharia hapa lazima ajiokotee dodo kwenye muarubaini!! lakini kiuno kama ya khumbu ipo???Hahaha ndio ndio. Yaan mkaka akipenda hv anakuaga very innocent trust me
Huyu ndio mbongo halisi!!
Kwani vinahusiana vipi mkuu?Duh sio kwa kumsifia huku asee,baharia hapa lazima ajiokotee dodo kwenye muarubaini!! lakini kiuno kama ya khumbu ipo???
Huyu anaitwa Littest 2001. Ni nomaaaView attachment 1699932
konda msafi khumbu wako si Kama huyo ..19yrs old
Mkaruka na wengine tusindikize Uzi na mfanano wa khumbu
[emoji23][emoji23][emoji23] au sio ulinzi mkubwa, halafu asimulie yooote asiende haraka haraka Kuna mijitu inamforce amalize haraka Kama wamechoka wajikatae ndio Kwanzaa tupo story ya mwaka 2009 hadi 2015 bado sanaaaaaaHadi hapa hii stori sio yake tena, ni mali ya umma ndo maana tunamhakikishia ulinzi.
Nchi imesimama kazi haziendi kwajili ya uzi huu, jaribio lolote la hujuma hatutalifumbia macho.[emoji53][emoji53]
Akishushamo nitagKonda msafi njoo bwana mimi nimeshamaliza kupika weekend naimalizia hapa kwako pembeni na chupa yangu ya kijani
Achana na malaika wa zamu
Acha biti maandazi, tulia hivyo hivyo kama makalio ya khumbu! Anaandika kwa mda wake , hujaitwa usome , umejileta mwenyewe kama nyege
Unawakumta mwenyeo au kuna mtu unamkumtia. Mana inatakiwa style iendane na uhalisia. Unaweza ukafanya pekeyako ikawa poa lkn ukija kuwa na mzigo mambo yakashindikanaTangu juzi najifunza style ya kukunguta ..kiuno hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni khumbu aitwe khumbu
Mwenyewe...😂😂😂😂 Mengine yatajulikana mbele kwa mbeleUnawakumta mwenyeo au kuna mtu unamkumtia. Mana inatakiwa style iendane na uhalisia. Unaweza ukafanya pekeyako ikawa poa lkn ukija kuwa na mzigo mambo yakashindikana
Jomba umekuja na wewe huku maana na wewe story yako ni miongoni mwa hadithi pendwa ambayo inatangazwa na kutaka link ya uzi wako nimeamua kumkataa mtotoLabda lesbian