Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Acha upimbi kima wewe usituharibie uzi
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
We jamaa dah.....unaona tutafaidiiii.... Haya bwana...[emoji1][emoji1]
 
@Bumblebee1 umekwama wapi episode zinachanja mbuga
 
how come mrembo khumbu hayuko fb wala insta. mwenye anajua Id anazotumia fb au instageam pls share.
 
Kipengele cha 071 naachana nacho rasmi. Naomba nieleweke kuwa hakikufanyika kama nilivyoelezea toka awali. Hivyo sioni sababu ya kuelezea in details ilikuwaje au ni mazingira gani yalimfanya mpaka Khumbu akaridhia kutoa 071.
Sasa mbona unatoa stori kwa kuhariri mkuu, bila 071 stori inakuwa batili[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unafanya nn kwa wazinzi, ukiitwa mchawi utanuna, lala bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…