Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Shusha vitu mkuu icho kipengele kitafutwa after a week kingine hakuna atakae kujua. Shusha mavituzz hahaaa watu tigo tigo .ila khumbu popote alipo achukue heiken catton nzima ntalipa
 
Nimeskip mauongo kibaoo...

Anyway.. Umejitahidi.

Ila bado hujafika kwa Jini ashura πŸ˜‚πŸ‘Œ
 
Kuna watu " Mbwa kabisa" [emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]

Wanasema " kwa Mpalange ..kwa Mpalange .. kuna jotroooo.." [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuisikiliza nafsi yako, usifuate makelele ya nje kama jambo hili ni baya kwako usifanye, msimamo wako ulikuwa sahihi kutokuliongelea, shetani asikushinde kwenye hili.
Namwunga mkono ndugu j wa nmb simama na kilicho right hata kama uko pekeyako.
 
Mkuu tuendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
Huu Uzi Naona members wote wa jf wamehamia hapa [emoji16][emoji16][emoji16]

Tunapenda ngono Sana mamaee acha tufe tu [emoji16][emoji16]
Nani tena uyu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona mnakua hivi si uende kwenyee jukwaa la dini watu wengine bana., Unajua icho kitendo hajakifanya so sio mbaya kuzungumza ili na wengine wajue ni jinsi gani mtu unaweza kukwepa kishawishi flani ,konda msafi we funguka itakua njia moja wapo ya ku confess na naamini utakua huru kwa nafsi yako kwa icho kitendo .
 
Dunia ni batili hamna kipya mkuu haya ni mambo ambayo yalishatokea
 
Una kipaji cha uandishi wa vitabu, fursa nyingine hiyo kwako mzee. Nilitemtembelea jamaa mmoja cha pombe huko. Wiki sikumaliza alileta demu usiku wa manane. Chumba ni kimoja kitanda ni kimoja, nililala upande kama mgomba mpaka kunakucha, huku jamaa anafaida tunda. South kuna mengi.
 
Eti kujifunza namna ya kukwepa vishawishi, aisee mmenishinda tabia! 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…