Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

PICHA YA KHUMBU MZEE BABAAA,

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Suala la picha tumemalizana . Tuendelee na mambo ya msingi ya tigo. Hatujajua kijana wetu ndo alkuwa na kitendea kaz kikubwa au hakukuwa na kirainishi nyakat hizo! Mana mpaka hapo yule shemeji alikuwa kahaba mzoefu tu.
 

Attachments

  • we_love_224_1613253922182444.jpg
    134.1 KB · Views: 71
Eeh Mungu ntanyooka mm na hii story,kuna episode nashindwa kuziaccess jmn nifanyeje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeishia 30
 
Ebu jishikilie vizuri wee mzee ebo!
 
Khumbu mzembe, anashindwa hata na vitoto vya shule kutoa kwa mparange😅
 
mtafute mzee

kuna mwamba kamwoa, tunawasiliana kimtindo ila sababu mke wa mtu nishasamehe, japokuwa ananiambiaga jamaa limesham. t . omba kila aina ya stail na mashine ishachambuka chambuka sana ahahahaha, me napotezea tu naogopa wake za watu
 
 
Wewe unanini embu history zako kaa nazo au kamsaidie ndalichako aweke kwenye vitabu

Sent from my F3111 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama kakifanya yeye aende jukwaa linalomuhusu kiherehere cha nyege tu

Sent from my F3111 using JamiiForums mobile app
 
Hivi sasa ni sa 8:35,,, tangu sa 4 nimekaa kwenye huu uzi!....

We ulkua unamfaidi khumbu me mke wangu sijui kama anaenda kunielewa,,,,anyway ndo maisha yako hivo lazma waburudishaji hawakosekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…