Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hapo sawa mkuu
 
Uyo mwenye kanguo kafupi ni mwanafunzi??? Aiseee nikiwa huko mbona miaka 30 itanihusu mimi
 
Mkuu msamehe bure huyo j wa nmb kwani hakuna Soko lisilokuwa na "Mwendawazimu"
 
Sawa mkuu jitahidi usikose kutupa kifo cha shemeji yetu khumbu utapomalizia au hata Kama utaona hutoweza kuendelea Basi angalau utupe tu chanzo cha kifo cha starling khimbu
 
Uyo mwenye kanguo kafupi ni mwanafunzi??? Aiseee nikiwa huko mbona miaka 30 itanihusu mimi
South akuna miaka 30! Mwanafunzi anazaa,anaomba matunzo social walfare...anaacha mtoto na mama ake anarudi Shule!! Ijumaa,jumamos anajiuza kama malaya akuna shida!! Acha tu niliwai kaa huko for 4 yrs. Kule wanawake ni bidhaa kama vile vocha n.k
 
Duh aiseee Sasa mkuuu ndio kusema....
 
South akuna miaka 30! Mwanafunzi anazaa,anaomba matunzo social walfare...anaacha mtoto na mama ake anarudi Shule!! Ijumaa,jumamos anajiuza kama malaya akuna shida!! Acha tu niliwai kaa huko for 4 yrs. Kule wanawake ni bidhaa kama vile vocha n.k
Aaaahhh basi kama ni hivyo nikionda huko ntazalisha kama njugu shwain ugonjwa wangu nguo fupi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…