Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Natumia nakunywa heinekenn ndio beer ninayokunywabasi hutumii kabsa ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumia nakunywa heinekenn ndio beer ninayokunywabasi hutumii kabsa ww
Nilizipata bwana af ndo nikakutana na habari za uzi kukatishwa mara unakula sana muda wa mleta uzi....basi ilimrad kunivuruga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Inatakiwa uwe na mtu mwingine. Njoo nikufundishe hiyo kung'uta siafu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endelea ,Mambo ya kuhishia njian hakuna.
Gud nasema gudBasi acha nisummarize matukio yote yaliyobaki kwenye episode moja.
Mkuu utatupoteza tulia hukuhuku jf kamuulize lwanda magereHivi huko telegram kukoje? Hebu na mimi nielekeze mkuu. Nisije nikawa nalalamika napoteza muda hapa kumbe kuna bukubuku zingiweza kunitia nguvu ya kuandika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Hiyo haina kukaba nafasi,ni kunyang'anyana tu mkuuWe Jamaa koma nishakaba nafasi Hapa... Katafute na wewe khumbu wako
Khaaakhaaa! mpaka leo dunia nzima mwanamke wa kwanza mwenye TAKO linalowapita wote ni msauz Africa.Fanya uende ukajionee nehema za Mungu!Aaaahhh basi kama ni hivyo nikionda huko ntazalisha kama njugu shwain ugonjwa wangu nguo fupi tu
🤣🤣🤣Wale wasiokua na kina KHUMBU waendelee KUJIFUKIZA
Hamna kitu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akuuu..nakun'guta siafu na baby tu
Weka linkJamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Mitume inaona gereKama vipi konda msafi aongezewe ulinzi popote alipo naona kabisa kuna mitume wamevamia uzi