Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilizipata bwana af ndo nikakutana na habari za uzi kukatishwa mara unakula sana muda wa mleta uzi....basi ilimrad kunivuruga tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aaaahhh basi kama ni hivyo nikionda huko ntazalisha kama njugu shwain ugonjwa wangu nguo fupi tu
Khaaakhaaa! mpaka leo dunia nzima mwanamke wa kwanza mwenye TAKO linalowapita wote ni msauz Africa.Fanya uende ukajionee nehema za Mungu!
 
Hii style ya kuwatoa siafu inaonyesha sio mchezo, baharia bado kidogo tungempoteza.
 
Bao lilikuwa tamu na la kusisimua maana hadi misuli nyuma ya goti ilikakamaa nikashindwa hata kutoka nyuma yake nikabaki nimemkumbatia huku.

haha changamoto ya kupumua je haikukupa kwa muda maana ulipata dalili zote za changamoto
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Weka link
 
Back
Top Bottom