Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
AiseeMuwe na usiku mwema wa dada wote magubegube yaliomshinda mtume na maswahaba zake, wenye damu za kunguni na nyota za punda tasa, mliokosa mualiko hata siku ya Valentine's Day kwenda kuhongwa hata Banana au K-Vant.
Mmekaa kukodoa macho JF usiku na kuharisha kwenye thread za watu, wakati wenzenu tupo nao viwanja.[emoji4]
Asante mkuu. Nilikutana na yule jamaa kwenye uzi wangu niliozungumzia jf na watu tusioona. Jamaa alitoa ushirikiano mkubwa sana aiseeMkuu stori itaisha. Msihofu.
Endelea mbele zipo episodes kama 60 hivi.Naona episode ya mwisho hapo n 32 au kuna zingine wadau..? Mni tag
Okay ngoja nizisake.. but mbona hii episode ya 32 haifunguki..? Ipo kama imepigwa lock [emoji359]Endelea mbele zipo episodes kama 60 hivi.
Hiyo seen imekuwa restricted na moderators, ni hiyo episode ya 32.Hii scene mbona sijaiona??
Mkuu konda msafi tafadhali hii scene nitumie inbox
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Shusha ya kulalia MkuuEndelea mbele zipo episodes kama 60 hivi.
Imepigwa lock. Ilikuwa explicit sana.Okay ngoja nizisake.. but mbona hii episode ya 32 haifunguki..? Ipo kama imepigwa lock [emoji359]
Pumbu usilifananishe na vitu vya kijinga[emoji51]Konda kukatisha story imeniuma zaidi ya teke la pumbu
Unaleta mambo ya kisengeh
Acha mambo ya kifalahMmemuona mtoto alivyokuwa chombo khumbi...
Masihara sasa!
Kama namuona vile Noni Nzondikonda msafi
Nadhani South Africa inaongoza kwa wanawake wenye matako makubwa.
Kwa Holi nakubaliana na wewe 100%!
Wazungu wanaita major cliffhangers.Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Shunie nimekumic sn ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuache na vitambi vyetu