Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Muwe na usiku mwema wa dada wote magubegube yaliomshinda mtume na maswahaba zake, wenye damu za kunguni na nyota za punda tasa, mliokosa mualiko hata siku ya Valentine's Day kwenda kuhongwa hata Banana au K-Vant.

Mmekaa kukodoa macho JF usiku na kuharisha kwenye thread za watu, wakati wenzenu tupo nao viwanja.[emoji4]
Aisee
 
Naona episode ya mwisho hapo n 32 au kuna zingine wadau..? Mni tag
 
RIP KHUMBU..

ALIFARIKI MWAKA 2016..

POLE SANA KONDA MSAFI
FB_IMG_16133373483942851.jpg
 
Jamani naomba niikatishe hii stori. Hii stori ni ndefu sana haitaisha leo wala kesho na inanichukulia muda wangu mwingi sana. Ni stori iliyochukua karibia miaka 6, since 2008 hadi 2012, kwa hiyo unaweza kuona ilivyo ndefu. Kwa wale wenye shauku ya kutaka kujua Khumbu yuko wapi kwa sasa, jibu ni kwamba Khumbu alifariki, hatunaye tena duniani. Mwenyezi Mungu aendelee kumuweka mahali pema peponi. I truly miss her and believe one day I will meet her in other worlds of God.
Mimi nilimaliza chuo nikarudi Bongo, nipo Dar nina familia tayari. Kuna uzi mmoja nilishauleta humu mnaweza kuutafuta kuhusu yaliyonipata niliporudi Dar. Asanteni na kwa herini.
Wazungu wanaita major cliffhangers.
 
Back
Top Bottom