Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

We jamaa nimekuona muda kidogo unaleta ligi zisizokuwa na mpango. Hivi kwa akili yako unadhani Mayor ni nani au huyo Governor wa Washington au London kutokutana na watu wa hali ya chini!? Ama unadhani kukutana na watu wa hali ya chini inachukua muda gani hata kujamiiana nao!? Hakuna Waziri Mkuu wa Uingereza aliwahi kujiuzuru baada ya kununua kahaba kwenye viunga vya London!? Au unadhani ukiwa Mayor, Governor au vyovyote vile kwa cheo unakuwa huna muda wa kufurahia maisha binafsi!?

Unajisifu kuzaliwa Dar na kukulia Dar na kuwa na exposure huko duniani, wewe ni kama wengine tu wanaopata kielimu kidogo wanakuja kuona hata wazazi wao ni Najisi kwa sababu tu hawakusoma. Ninakoishi mimi ninaishi na watu wazito wengi tu ila wana maisha ya kawaida mno katika kujamiiana na watu. Acha umasikini wa fikra
 
Unavyozidi kujitetea ndio unazidi kuonekana kichwani kumejaa kinyesi laini badala ya ubongo. Kubali tu ulikua hujui kua mayor ni diwani tu...kwa ushamba wako ulikua unajua ni Rais sijui...alafu kwani inashindikana nini mwenye cheo ku date chokoraa...wewe mbona unaliwa na mashamba boy na una cheo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Aiseee... good evening mkuu
Naona jana valentine's day baada ya kukung'uta siafu kisawasawa leo umeamka ukiwa na rahaa sana!🏃🏃🏃
 
[emoji23][emoji23] kama ni eksipozha hii siitaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi uende kwa Khumbu.

Ila exposure sio kutembelea maeneo tofauti nje ya nchi yako pekee. Exposure ni mabadiliko ya kimtazamo na fikra kutokana na mambo uliyojionea duniani na ukawa mtu wa mfano na si mwenye kiburi. Unaweza kutembelea nchi nyingi lakini bado ukawa primitive tu.
 
Mayor anagonga dem wana share na wauza mitumba na madereva wa daladala..... Achane utani nyie.
Wauza mitumba..[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo tumevurugwa sana.

Khumbu mbona lakini alianza kupendeza kabla hata ya stori ya huyo meya?..demu akishaanza kupendeza analiwa vizuri tu na hao wazito
 
Ila hakikisha isiwe mitaa ya kaka zao wale wa ajab ajab maana nao kuna baadhi wana matako balaaah

nimcheka mpaka machozi umenikumbusha mbali sijui wanakulaga nini wale jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. we jamaa una dhambi sana
 
Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
 
Mkuu usibishe vitu usivyo vijua Mayor ni mtu wa kawaida sana kwa nchi zetu za kiafrika.. Au jina la nchi limekuchanganya
nini?
 
Mkuu acha, tuachie sisi huyu wewe una kazi maalum asikutoe relini kabisa
 
Home boy achana na huyo fala ajui anacho kisema,

Mi nipo CAPE TOWN nakufatilia kwa umakini sana alafu nakuelewe kinoma. Story yako inanikumbusha demu wangu waki- Xhosa (THANDO) mademu wakisouth we acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…