BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
We jamaa nimekuona muda kidogo unaleta ligi zisizokuwa na mpango. Hivi kwa akili yako unadhani Mayor ni nani au huyo Governor wa Washington au London kutokutana na watu wa hali ya chini!? Ama unadhani kukutana na watu wa hali ya chini inachukua muda gani hata kujamiiana nao!? Hakuna Waziri Mkuu wa Uingereza aliwahi kujiuzuru baada ya kununua kahaba kwenye viunga vya London!? Au unadhani ukiwa Mayor, Governor au vyovyote vile kwa cheo unakuwa huna muda wa kufurahia maisha binafsi!?Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
Unajisifu kuzaliwa Dar na kukulia Dar na kuwa na exposure huko duniani, wewe ni kama wengine tu wanaopata kielimu kidogo wanakuja kuona hata wazazi wao ni Najisi kwa sababu tu hawakusoma. Ninakoishi mimi ninaishi na watu wazito wengi tu ila wana maisha ya kawaida mno katika kujamiiana na watu. Acha umasikini wa fikra