Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

[emoji28]nitashukuru sana, nelson mandela bay, kwadwesi-mpetha street, elekeza kuanzia hapo mkuu


Hakikisha tako lakubembea kweli kweli naliona nitalipiga picha nililete hapa

you made my day, umenichekesha sana leo, siijui sana port elizabeth ila nasikia kuna sehemu nyingi tu watoto wanakuwepo, yan bado lile swala la wababa kuwa na mitako mikubwa linanichekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usichokilua ni kwamba Mayor ni diwani so anafika sana kitaa kwa majukumu yake, hivyo vitu vizuri anaviona pia, kumbuka anayoa saluni moja na jamaa yetu huyu, pamoja na maelezo yoote haya we bado hujaelewa Khumbu alikuwa pisi kali? Akili yako iko nyuma sana kwa kudhani umekulia Dar hivyo unajua kila kitu. Hapa Dar kuna mawaziri wanapiga mpaka 3 some na watoto wa kawaida kabisaaaaa, nini Mayor?
 

Ngoja nikwambie kitu , mwanaume akimpenda mwanamke hata awe chokoraaa anaruka nae tu wenye ubaguz ni wanawake mwanamke mwene phd hawez kuruka na mtu wa std 7. sisi wanaume hatunaga makuu , mkuu nadhani utakuwa umenisoma, alafu kingine kwan unatoaaamba level zake au unatoaaaamba lile toto zuri ??
 
Watu watakuwa hawasomi story zako zijazo kwa hofu ya huko mbele kuambiwa lugha kama hii uliyoitumia humu ya kusema sijui story unaikatisha.Ina maana sikujua toka mwanzo kuwa story inayo cover six consecutive years ni ndefu.Tumekwazika sana
 

Huyu mayor wa ubungo huyu anaitwa nani huyu jacob sijui huyu alotoka siku si mingi tumepishana sana elements anavizia wanafunzi wa ifm na wengine ni wabovu tu sasa si ndio hao hao wanaoliwa kimasihara kwene uzi wa ricky boy ? wanawake ni wale wale tunawala kwa zamu kila mtu na muda wake yan ieleweke hivyo....
 
Akili zako zimelikiwa kwenye box ama chokora kwako ni mtu wa aina gani, inaelekea hauja fatilia kabisa story na Kama umeifatilia haujaielewa, unajiabishaa tu
Chokora ni mtu asiye na makaz analala mtaroni na ombaomba, demu alikuwa na kwao na pia jamaa hakumkuta anaomba omba, ina maana ww ndio mwenye akili kuliko wasomaji wote humu, kaa kwa kutulia mzee acha ushamba wako wakihaya
 
Madereva wa dala dala hapa sauz sio machafu kama TZ,hii ni industry inayoheshimika sana. Mtu ya ukisoma dereva wa dala dala unapiga picha akilini kama madereva wa basi za Tandale.
 
Mbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...

Hata me nimemshangaa, kuna umuhimu wa watu kuwa wanakuja mjini alafu wanaenda hata viwanja waone wabunge na mawaziri wanavyokula vindege vilivyoexpire, mwanaue sio wa kumpa dhamana kwa mwanamke, kichaa analiwa mpaka mimba ndio itakuwa hawa wa kidimbwi
 

jamaa hakusema dereva alisema mliliki, naona unarudia rudia sentensi yako hiyo ya dereva
 
Exactly... kwenda uraya, karifonia si ujanja... si tunawaonaga na bana.. ni kama unijie na raba zako za all stars hapa sijui supra wakati nimewaona bibi zangu wakifagiliaga mbolea miaka ya early 90s[emoji23][emoji23]

Sinza ni zaidi ya karifonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…