Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ulikua unatafuta hela kwaajili ya khumbu tu wewe? Naona alikuroga siyo bure..huwaz kutafuta hela kwaajili yako ila khumbu heeheeKabla hatujaendelea na matukio ya Khumbu hebu jaribuni kuigoogle "the workshop mall" ili muweze ku-visualize ile park(garden) niliyoenda kukaa na kuanza kutokwa machozi bila kupenda, huenda hata mkapaona hiyo sehemu niliyokaa ndugu yenu hahahaha!
Haya tuendelee,
Baada ya kujiapiza kuwa huyu anayeutesa moyo wangu lazima nifanye rebound ya kufa mtu ili nimle hata mara moja ya mwisho, na siku akijiroga aingie kwenye 18 zangu nitakachomfanya hatanisahau. Ikawa kama namtaka Khumbu kwa ajili ya kumkomesha na si kwa ajili ya kumpenda. Of course deep down nilikuwa nampenda ila tayari moyo wangu ulikuwa umejawa hisia za kumkomesha.
Hapa nikawa natafakari nini cha kufanya ili nitimize dhamira yangu. Cha kwanza nilichokifikiria ni kumpigia simu jamaa yangu don wa unga anitoe hii sehemu niliyokuwa naishi ili nikakae kwenye mijengo yake maana alikuwa na mijengo kibao ya kufanyia mambo yake. Unajua wauza ngada huwa na machimbo tofauti tofauti. Yaani huwa wanakodisha majumba sehemu tofauti tofauti tena maeneo wayayokaa watu wenye pesa zao mjini kwa ajili ya kufanyia biashara zao. Humu ndimo shughuli ya kufunga mzigo tayari kwa kuupeleka streets hufanyika. Hilo wazo nikaona halifai. Nikafikiria nikija kudakwa kwenye hizo yumba za sembe si na shule itaishia hapo. Of course kufungwa nisingefungwa maana don angenitoa fasta tu ila hii kesi ikifika chuo lazima nitimuliwe, so nikaona idea ya kwenda kuishi huko haifai. Idea ya pili nikawaza labda nipambane nitafute hata part time job maana documents nilizokuwa natumia zilikuwa zinaniruhusu kusoma na kufanya kazi. Nipambane nipate mjengo wa maana wa kuishi peke yangu. Hii idea tena nikaona kama itakuwa ngumu. Kuishi mjengo wa maana peke yako kwa South africa inahitajika hela ndefu sana, so hata kama nikipata kazi sidhani kama itakidhi haya ninayoyapanga. Nikawa kama nimevurugwa vile maana moja haikai, mbili haikai. Anyway nikajiambia acha niyapeleke mambo taratibu mbele ya safari nitapata tu njia ya kutokea na hatimae kumtia Khumbu mikononi.
Itaendelea...
Penzi LA pisi Kali, hahahaa balaa sana2010 World Cup South Africa, Mzansi for sure,
Mnamkumbuka rafiki yangu Sandile yule mpiga picha wa gazeti la Sunday tribune? Huyu mwana alikuwa poa kinoma. Ni kati ya watu kwenye watu. Jamaa kanipa support sana. Kazini kwakwe palikuwa sio mbali na chuoni. Alipiga picha moja hivi wa uwanja wa Moses Mabida akashinda Award flani hivi. Alikuwa mpiga picha wa hilo gazeti anayeheshimika sana. Pale kazini kwakwe walikuwa wanatoa chakula for free kwa wafanyakazi, na hiyo ni kampuni moja kubwa sana ya magazeti kwa South africa. Maisha yangu yote ya chuo sikuwa na shida sana kwa upande wa msosi, Sandile alikuwa mwana kinoma.
World cup ilipofika Sandile alinifanyia mpango wa kupata kitambulisho kama mwandishi wa habari. Nilipata accreditation ya kuingia sehemu za VIP kwenye maeneo yote kipindi cha world cup. Nilipata nafasi ya kukaa meza moja na huyu mtunzi wa official song for 2010 world cup sijui wanamuita Kay naan aliyeimba wimbo wa "Wave the flag"
Siku moja Sandile alikuwa anacover story ya world cup mitaa ya Inanda. Inanda ndo kwao na Khumbu. Kipindi cha world cup kulitengwa sehemu za kuonyeshea mpira kwa ajili ya watu ambao hawataweza kwenda uwanjani. Serikali iliweka masinema makubwa ya kuonyeshea mpira nadhani kila township na sehemu za fukwe za bahari. Kwa hiyo kila jioni tukitoka chuo Sandile alikuwa ananichukua tunaenda kwenye hizo sehemu. Kwenye hizo sehemu kulikuwa na matents yaliyojengwa maalumu kwa ajili ya VIP kama wanasiasa na wasanii wakubwa kama wakina Kay naan (sijui kama jina lake naliandika kwa usahihi). Hizo sehemu ya VIP kulikuwa kama hotel vile, na yeyote anayeingia humo anakula anachotaka bure. Hivyo mimi na Sandile tulikuwa tunaingia humo kwa sababu tulikuwa na accreditation na kucheck world cup kwa raha zote, maana full kula bata na kumeet na watu wazito wazito.
Tulipokuwa Inanda nikapata wazo la kumtafuta Khumbu. Nikawa nafikiria nitamwitaje Khumbu mbele ya Sandile?Kumbuka Sandile alishanionya kuhusu mahusiano yangu na Khumbu.
Itaendelea.
kawaida hiyo ungekuwa mwanamme ungeelewaYaan ulikua unatafuta hela kwaajili ya khumbu tu wewe? Naona alikuroga siyo bure..huwaz kutafuta hela kwaajili yako ila khumbu heehee
Mundende unaopiga unamaanish nn
Khumbu huyu hapa anaijua hadi jf kutoka kwa madibakonda msafi nilimpenda sana sema alikua ana tabia flani za kitoto....hasa za wivu .
Kufuatilia stori za matusi ni tabia mbaya!Awee[emoji7]
Mkuu umenikumbusha mbali sana ,mimi niliwahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Lesotho na Swaziland kwa majina yao Liakae Mafatle na Nkhosinathi Maphalala kati ya mwaka 1995 -2000 hapa Tanzania.Nataka niende haraka haraka ili hiki kisa nikimalize. Maana hiki kisa kilijiri kutokea 2008 mwezi wa pili au wa tatu hadi 2012 October nilipoamua kurudi nyumbani baada ya kuona nitakufa bure kisa Khumbu. So, nitakuwa naongelea matukio ya muhimu tu. Naomba niyapange hapa haya matukio ili kama kuna tukio nitalisahau mnikumbushe.
Matukio ni kama ifuatavyo.
1. Nilihama kule kwa masela baada ya chuo kuanza chuo, hivyo nilifulia ile mbaya
2. Baada ya kuanza chuo penzi letu liliyumba sana
3.Kuna siku nilimfukuza Khumbu ili nimkamate nimrudishe ndani nimpige miti nikiwa na boxer tu, nilikuwa kama akili zimeniruka.
4. Kuna siku Khumbu nimempanga nije nimle, hela niyokuwa naitegemea kumkirimu masela wakapita nayo, maana nilianza kukaa gheto na masela mavi.
5.Kuna siku Khumbu alitaka kunipeleka polisi baada ya kumpa kibano na matusi juu.
6. Kuna siku Khumbu nilimkuta na mshikaji wanatoka supermarket nilidondosha chozi.
7. Kuna siku nilifanya jaribio la kumla 071 akaridhia ila nikashindwa mwenyewe.
8. Kuna sehemu nilipata kazi province nyingine nikamtumia nauli Khumbu aje ili tufanye yetu, nauli akala na hakuja
9. Kuna siku nilipigiwa simu nikitishiwa kupigwa risasi.
10. Siku naondoka South Africa ilikuwa siku ya majonzi kwa Khumbu.
Mmmmmhh [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] tutoleee wachaga wa rombo haoView attachment 1699978
Khumbu kama Phumbu
Durban university of technology 201....Tuendelee...
Mshikaji wangu Sandile alikuwa ni mpiga picha wa gazeti linaitwa Sunday tribute/tribune (nishaanza kusahau), kwa hiyo alikuwa anasoma huku anafanya kazi. Pontsho sasa hivi ni metro police lakini kipindi hicho alikuwa anafanya kazi bank. Hivyo wote wawili walikuwa na usafiri. Ilipokaribia saa 11 Khumbu akapiga simu kuniulizia nipo wapi? Nikamwambia bado nipo chuo ila anielekeze tu yuko wapi tuje tumchukue tusepe nyumbani. Akaniambia yupo stand. Hiyo taxi rank ilikuwa karibu na chuoni kwetu. Hivyo nikawashitua Sandile na Pontsho kuwa tuondokeni, kuna mtu inabidi tumpitie. Tukakubaliana tutumie gari ya Sandile, ya Pontsho tuiache tu huko parking maana italeta usumbufu usio wa lazima. Tukawaaga wana group wenzetu, tukaelelea parking kuchukua usafiri wa Sandile.
Picha linaanza,
Nikawaeleza kuhusu Khumbu kuwa inabidi tumpitie yupo stand, bila hiyana Sandile akawasha gari tukashuka kituoni tukamchukua Khumbu. Khumbu alipoingia kwenye gari nikafanya utambulisho na safari ya kwenda maskani ikaanza. Tukiwa njiani Sandile na Pontsho wakashauliana tupie KFC tununue chakula kabisa maana huko tuendako hakuna mpishi. Basi chakula kikanunuliwa na safari ikaendele. Pale nilipokuwa nakaa kulikuwa na nyumba nyingine inatumika kwa ajili ya mikutano na funguo zake mimi ndio nilikuwa nazo. Tulipofika nikampeleka Khumbu getoni kisha nikaenda kufungua ile nyumba ya mikutano kwa ajili ya kupiga kitabu. Chakula tukagigawa, tulichukuwa kinachotutosha sisi na kingine nikapelekea Khumbu.
Wadhamini wakaanza, Sandile na Pontsho wakawa wananidadisi kuhusu Khumbu. Of course waliona nakula chakula grade one ila nikiwaangalia kwa jicho la tatu nawaona kama wananiona nimepatikana. Khumbu alikuwa demu classic hivyo walikuwa na wasiwasi nimewezaji kummiliki. Nadhani walianza kuunganisha matukio ya mizinga niliyokuwa nawapiga, hivyo walipata jibu hiyo mizinga nilikuwa nagawana na Khumbu. Na kuna siku Sandile alinichana live kwa kuniambia "Konda msafi mie nakusupport financially ila siafiki mahusiano yako na Khumbu, sikupangii nani um-date ila siafiki mahusiano yako na Khumbu". Mie niliamua kumpotezea maana niliona kama ananichuria tu, naanzaje kuiacha ngozi tamu kama hiyo, kama kufa acha nife tu. Maisha menyewe mafupi.
Tulianza kujisomea lakini akili yangu ilikosa utulivu kabisa, maana nilikuwa nawaza kwenda kumtawanya miguu Khumbu. Naona jamaa waliona sina concentration kama wanavyonifahamu, wakaamua tuachane tu na discussion waniache niende nikacheze na makalio ya dada yao.
So discussion ikafa, wakaingia kwenye gari wakasepe, na mie nikachoma ndani.
[emoji28][emoji23] jaman hapana. Huyu mkaka alimpenda sana mrembo jaman. Ningeweza ningeenda mtafutia alipo apate furaha. Nawapenda sana wakaka wakiwa wanaadmit jinsi wanavyowapenda wapenzi wako.Kufuatilia stori za matusi ni tabia mbaya!
Haaha khumbuuu[emoji23][emoji23] kweli kbsUmeonaaaaa ehee