Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Big up mwana,afadhali story zako za kiujana.Maana kuna mzee huko kapewa limbwata mchepuko anauita bimdogo.

Bora tumepata chimbo la kupumnzikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uliwapataje mkuu?
Mkuu umenikumbusha mbali sana ,mimi niliwahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Lesotho na Swaziland kwa majina yao Liakae Mafatle na Nkhosinathi Maphalala kati ya mwaka 1995 -2000 hapa Tanzania.
Tabia za wanawake wa kusini mwa afrika

1.Wanajua sex level ya juu sana ukilinganisha na watanzania
2.Wana shepu kali sana
3.Wanajua kupenda
4.Wanakunywa Pombe sana na kuvuta sigara
5.Ni wakorofi sana
6.Ni Rahisi kuliwa na rafiki zako,wao sex na kubadilishana wapenzi ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano hata kama anakupenda kiasi gani
 
Haya tunaendelea, hapa tunaelekea lile tukio lililonifanya nimkimbize Khumbu nikiwa na boxer tu kama nimepandwa na kichaa, of course kila binadamu ana elements za ukichaa maana siku ile sikuamini kama ni mimi.

Nilipoupata ule mpunga kutoka kwa Don wa sembe nikasema afe punda huu mzigo lazima Khumbu apate share, hata kama ataamua kuuchukua wote sawa tu ilimradi roho yangu ipate hitaji lake.

Nikaona njia pekee ni kumuibukia kwao. Maana niliona nikimpigia simu nimwambie kuna hela hapa njoo uchukue atahisi kama namnunua, of course niliamua kumnunua ila niliona kwenda direct ataniona kavu.

Kesho yake sikuingia darasani, asubuhi tu tayari nipo stend kwenye foleni ya kwenda Inanda. By the way kule mnapanda daladala kwa foleni, sio kama huku kupigana vikumbo mwenye nguvu ndio anapanda. Huko ukifika stand unapanga foleni kama upo bank.

Sikutaka kumpigia simu wala kutuma sms. Nilitaka kumfanyia ambush tu. Kuhusu baba watoto wake nilikuwa sijali tena, uwazimu ulikuwa kama umenipanda kichwani. Mara huyu nishafika, bahati nzuri nikamkuta hata nguo za kulalia hajabadilisha. Nikamkuta yeye, bibi yake na mwanae.

Akanikaribisha kwa heshima zote japo alikuwa na sura ya kujiuliza, this nigga what is he here for? Halafu Khumbu ana kicheko flani kama cha wadada wa kiswahili, akacheka akaniangalia, kama vile anajiuliza huyu jamaa vipi asubuhi asubuhi yote hii? Haogopi kufumuliwa ubongo? Anyway demu ukishamula tena mara nyingi hata hazihesabiki hana nguvu kubwa ya kukuintimidate. Kwa hiyo nikamwambia young lady I need you.

Hapa hata chuo sijaenda kwa sababu yako, kwa hiyo leo lazima kieleweke. Simu hupokei, ukipokea unasema uko busy so nimeamua kukufuata kwenu labda utanielewa. Tuliongea mengi na tukakubaliana. Atakuja jioni. Kwa hiyo niondoke nikaendelee na shughuli zangu jioni atakuja. Basi mie nikawaaga nikaondoka. Siku sikutaka tena kwenda chuo japo kuna vipindi vya mchana ningeweza kuviattend. Nikanyoka moja kwa moja supermarket kwenda kufanya mahemezi ya mgeni. Jioni kwenye saa 10 akanipigia akasema amekaribia hivyo niwepo nyumbani. Nikamjibu aje tu nipo nyumbani. Muda si mrefu akawa amefika.

Alipofika nikanotice hajabeba chochote, hana mkoba wake anaokujaga nao, ana kiwallet kidogo dogo hivi. Nikahisi hapa kuna hatari inaenda kutokea. Roho yangu ikawa inaniambia huyu mtu hajaja kulala wala nini, amekuja kusoma mazingira tu kama kuna maisha au hakuna. Tumekaa kidogo akaniomba nikamnunulie vocha dukani, nikahisi huyu ataondoka, nikienda tu dukani nikirudi sitamkuta. Nikamwambia mie kwa kweli nimekumiss sana, naomba kwanza unipe kimoja halafu mambo mengine yafuate.

Halafu nikaamua kuchomekea harakaharaka kama nina hela ili kama ana mpango wa kunikimbia aahirishe, so nikaendelea kumwambia, najua wewe ni mwanamke unahitaji pia hela ya kujikimu hivyo sometimes natakiwa nikuelewe unaposhindwa kuja kunitembelea, japo nilijihisi nimeongea pumba ila nilijipa moyo kwa kufikiria huyu shida yake si ni hela hata kama nikiongea pumba hakuna shida ilimradi nimpa fungu lake. Basi akaniambia, nenda basi ukaoge then nikupe. Kidogo nikaanza kupata matumaini kuwa mzigo napewa, hata kama hatalala haina shida. Nikaingia kwenye kabati nikamtolea rand 400, akazipokea akawa kama kazikunja kunja hivi.

So, fasta nikaingia bafuni ili nioge fasta nile mzigo. Nilipokuwa bafuni nikawa nasikia kama movements hivi, nikahisi hapa nakimbiwa, nilichofanya nikaufungua kidogo mlango wa bafu ili kama atataka kukimbia nimdake maana mlango wa kutokea lazima upitie mbele ya bafu. Basi bana nikatupa boxer huko, nikafungua bomba mvua nikaanza kuoga, sekunde chache tu baada ya kuanza kuoga nikaona mtu ananyata kuelekea mlangoni, roho ikanilipuka paa!

Basi namipovu yangu nikakurupuka kuwahi mlangoni, nikawa nimechelewa, huyo keshafyatuka kama radi, nikatoka nje kuchungulia nikamuona anaishiria kutoka getini, fasta nikarudi ndani nikavaa boxer nikatoka ili nimfukuze, nikatoka mpaka barabarani kabisa huku natetemeka hata sijielewi, dah! baadae nikajitambua hapa sijavaa chochote, nipo na boxer tu acha nirudi ndani nikatafakari.

Itaendelea...
Dah, Mwamba hapa kweli ulivurugwa hatari
 
Inaendelea...
Nikawa naumiza kichwa ni namna gani naweza kumtafuta na kuonana na Khumbu bila Sandile kujua. Pia nikawa najiuliza kumtafuta ni swala jingine na kukubali kuonana na mimi nalo ni swala jingine. Kumbuka mara ya mwisho kuwasiliana naye ni kipindi nilipomtolea matusi mpaka akanitishia kunipeleka mahakamani, na mara ya mwisho kuonana ni pale tulipokutana workshop akiwa kabambiwa na msela. Nikawa hata sielewi cha kufanya. Kwenye yale maeneo ya kuonyeshea mpira kwa ajili ya public pia kulikuwa na maonyesho ya bidhaa mbalimbali kama vile inavyokuwa maonyesho ya sabasaba pale Kilwa road. Kulikuwa na shughuli nyingi tu zinaendelea na watu walikuwa wanajaa hasa. Kabla ya mpira kuanza kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali locally and internationally wanatumbuiza kwa zamu. Sandile alikuwa anatoka na kwenda kutafuta matukio kwa ajili ya kuripoti kwenye gazeti hivyo muda mwingi alikuwa akitoka toka na kuniacha peke yangu kwenye tent la VIP, haimaanishi kabisa kuwa nilikuwa nabaki peke yangu, si mnajua burudani ya world cup, lazima upate company nyingi tu humo mnaoshabikia timu moja. Nakumbuka ile siku mchezaji wa Ghana alipokosa penalty kwenye robo finali, tent zima tulijikuta tumekuwa kitu kimoja tunaomboleza. Ilikuwa ni majonzi, ninachotaka kusema hapa company ilikuwa ya kutosha hata pale Sandile alipokuwa ameenda kutafuta matukio.
Kuna muda Sandile alitoka kwenda kutafuta matukio nikaona huu ndio muda wa kumtafuta Khumbu. Nikapiga simu akapokea, nikamwambia nipo hapa kwenye hii sehemu wanapoonyesha mpira kwa ajili ya public kama hatojali tuonane. Akasema yeye yupo nyumbani anachekia mpira nyumbani. Nikamwomba aje huku tuonane. Akasema anakuja ila akasema tukutane huku kwenye shopping mall hivi iliyokuwa pembeni mwa hiyo sehemu tuliyokuwepo. Basi mimi fasta nikachomoka kwenda kwenye hiyo mall. Akanipigia simu kunielekeza upande tutakaokutania. Basi nikawa nimefika sehemu ya tukio nikawa namsubiria. Haijapita muda nikamuona kwa mbali akija akiwa na rafiki yake. Walivyofika Khumbu akanitambulisha kwa rafiki yake kama mimi ni mtu wake. Khumbu alikuwa amevaa kikaputula cha jean na jezi ya timu ya taifa ya South africa. Alikuwa amependeza hatari. Kile kikaputula kilikuwa kimemkaa vizuri hatari. Tako lilikuwa linaning'inia kama mzinga wa nyuki. Haraka haraka nilinotice Khumbu amebadirika sana kimuonekano, hakuwa Khumbu yule niliyekutana naye kwa mara ya kwanza. Alikuwa na muonekano mmoja wa matawi wa juu. Unajua mwanamke anayejijua status yake, anayejijua thamani yake kuna namna flani ana behave kuonyesha ni quality. Halafu nikimcheki tu hata ngozi yake unaona kabisa huyu kwa sasa life lake lipo njema. Kichwani alikuwa amebana nywele zake hivyo kumfanya kuonekana ana sura ndefu nyembamba amazing. Basi baada ya utambulisho akapendekeza tuingia ndani ya mall tutafute sehemu tukae tuongee. Tukaingia ndani, akamwomba rafiki yake atupe privacy ili tuongee mambo yetu. Tuliongea mengi ila kubwa akaniambia kwa sasa kama ninamtaka nifanye mpango wa kumuoa. Akasema haitaji tena mahusiano ya kutiana tu. Akaniambia nitafute pesa, au nisubiri nimalize chuo nipate kazi. Nakumbuka alisema haya maneno. "Babe South african girls need money". Akaniambia akipata nafasi atanitembelea ila nizingatie alichoniambia. Tukaagana, nikarudi zangu kuendelea kuangalia mpira.
"Babe, South African Girls Need Money"

Khumbu kwa huu msemo, Nakuombea Mungu akupe Maisha marefu na yenye Furaha.
 
Naomba radhi kumpost Khumbu anae zungumziwa, pia niwatoe hofu kuwa yeye mwenyewe ameridhia nimpost.
20210212_173300.jpg


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Inaendelea

Basi nilipoingia chumbani, nikamkuta demu amejilaza, kajifunika shuka ila yuko macho. Akainuka akaa kitako, na mimi nikpanda kwenye godoro, tukawa tumekaa huku tumeegemea ukuta.

Naomba kwanza nikielezee hiki chumba (store) tuliyokuwa tunalala mimi na msela wangu, maana kuna tukio lilitokea ambalo nitakuja kulielezea ili iwe rahisi kuunganisha stori na kuleta mtiririko mzuri. Hiki kichumba kilikuwa sio kikubwa sana, ukiweka kitanda cha sita kwa sita unaweza usipate hata sehemu ya kupita au itabakia ndogo sana. Halafu kilikuwa kimepakana na chumba cha huyu msela mwingine mbongo anaitwa baba Isa. Baba Isa alikuwa na mademu wawili wa kizulu waliokuwa wanakuja kwa nyakati tofauti hapo getoni, ila kuna siku hao mademu waligongana, nyumba ikageuka uwanja wa vita. Kama nilivyosema hicho kichumba nilichokuwa nalala kilikuwa kinapakana na chumba cha baba Isa. Ule ukuta unaotenganisha chumba changu na cha baba Isa kulikuwa na kidirisha kidogo kwa juu cha kioo. Siku baba Isa alipogonganisha magari (mademu) kile kidirisha cha kioo kilipasuliwa na mmoja wa mademu wake.

Haya tuendelee kuhusu huyu mtoto Khumbu aliyetaka kusabisha nitolewe roho.

Mle chumbani kulikuwa hakuna kitanda. Kulikuwa na godoro tumelitandika chini, na maisha yalikuwa poa tu.

Basi nikawa namchukulia maelezo ya awali Khumbu, nikawa nataka kujua ilikuwaje asubuhi yote hiyo yupo town na ana njaa. Khumbu akanieleza kwamba, kuna jamaa amezaa naye, ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi kadhaa, huyo jamaa aliyezaa naye ni mmiliki wa taxi (daladala) na ni mkorofi kinyama. Wamezinguana naye, hivyo jamaa kasusa kumhudumia mtoto. Anaishi na bibi yake, bibi yake anaishi hana kipato chochote zaidi ya government grant. Kwa hiyo ametoka nyumbani asubuhi kuja town kwa ajili ya kwenda home affairs kuweza kuapply government grant kwa ajili ya mtoto wake maana baba ake amhudumii tena. Anyway hayo ndio maelezo aliyoyatoa, huenda labda alikuwa ananiongopea.

Baada ya kupiga stori kwa muda mfupi, nikaanza uchokozi wa kutaka kula tunda. Of course haikuwa shida maana demu alikuwa amejipanga kuja kuliwa. Tukafanya foreplay i.e romance, kissing and the like nikapakua mzigo. Kama nilivyotangulia kusema awali Khumbu kaumbika, God is my witness. Khumbu ana umbo moja matata sana, ana makalio kama yananing’inia hivi halafu malaini. Amezaa lakini utadhani hajazaa maana tumbo ni very flat halafu halina mchirizi hata mmoja kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi waliozaa. Halafu tokea nimeanza kuwala wasauzi nilikuwa sijawahi kukutana na mwanamke anayekata mauno kama Khumbu. Mademu wote niliowala kuanzia Joburg hadi Durban hakuna aliyekuwa anakatika. Lakini kwa Khumbu alikuwa anakata mauno utafikiri unatiana na demu wa kibongo. Zaidi ya yote hadi sasa sijawahi kukutana na demu anayeweza kukata mauno kama Khumbu. Khumbu alikuwa na namna yake tu ya kuzungusha kiuno, yaani unahisi kama mb.o..lo inakunjwa kunjwa kwa ndani. Kwenye kukata mauno hadi jamaa zangu na akina baba Isa walikuja kukiri huyo demu anakupenda. Hawa jamaa kumbe walikuwa wananipiga chabo kila nikivusha, walikuja kuniambia kwa baadae uchafu wote tuliokuwa tunafanya na Khumbu. Kumbe kile kidirisha cha juu kilichopasuliwa walikuwa wanakitumia kutupiga chabo. Walikuwa wananiambia huyu demu mzee anakupenda sana, mademu ya hapa hajajui kukatika ila huyu wako anakukatikia, ukimwambia chuma mboga anainama, ukimwambia nikalie anakukalia, ukimwambia nyonya ana nyonya. Siku za breed alikuwa analeta hivyo hivyo, so naamua kuchagua either nile hivyo hivyo au nimalize kwa kunyonywa. Zaidi ya yote siku za weekend Khumbu alikuwa anapatikana. Anyway hapo ndio ukawa mwanzo wa penzi letu mimi na Khumbu, penzi zito lililohatarisha uhai wangu. Khumbu kanitesa sana, kaniumiza mno. Nilishawahi kupigiwa simu na msela ananiambia atanipiga risasi.

Itaendelea asubuhi.
noma sana
 
Back
Top Bottom