The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Lete story mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rahaula.Naomba radhi kumpost Khumbu anae zungumziwa, pia niwatoe hofu kuwa yeye mwenyewe ameridhia nimpost. View attachment 1700849
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Wazee wa 071 utawajua tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Kwenye mwendelezo usisahau kukazia hapo.
Dah!!! [emoji30] [emoji30] [emoji30] Mawazo ya kijinga kabisa haya....picha ikitupiwa humu,lazima wabongo watoe kasoro sana.
watakueleza mbona demu wa kawaida sana.
kuna mapimbi hayajui kutofautisha picha za Photoshop na zile za kupiga kawaida
kuna mademu n pisi kali sana,lakini ukimpga picha ya kawaida anaonekana wa kawaida
nakushauri konda msafi,usitupie picha,tuache tuendelee kutengeneza picha zetu vichwani,ndo tunaupata utamu wa khumbu
sio kila mafua ni corona mkuu nadhani unaielewa concept liberty au nasema uongo ndugu zanguuuuuKumbe wewe ni mwanaume. Sasa kwanini utumie Avatar ya kike.
Msaidie kurefushaTatizo episode ni fupi sana
Ile we mwanaume....ndo unawaadithia wenzako kila kitu cha Durban.Kabla hatujaendelea na matukio ya Khumbu hebu jaribuni kuigoogle "the workshop mall" ili muweze ku-visualize ile park(garden) niliyoenda kukaa na kuanza kutokwa machozi bila kupenda, huenda hata mkapaona hiyo sehemu niliyokaa ndugu yenu hahahaha!
Haya tuendelee,
Baada ya kujiapiza kuwa huyu anayeutesa moyo wangu lazima nifanye rebound ya kufa mtu ili nimle hata mara moja ya mwisho, na siku akijiroga aingie kwenye 18 zangu nitakachomfanya hatanisahau. Ikawa kama namtaka Khumbu kwa ajili ya kumkomesha na si kwa ajili ya kumpenda. Of course deep down nilikuwa nampenda ila tayari moyo wangu ulikuwa umejawa hisia za kumkomesha.
Hapa nikawa natafakari nini cha kufanya ili nitimize dhamira yangu. Cha kwanza nilichokifikiria ni kumpigia simu jamaa yangu don wa unga anitoe hii sehemu niliyokuwa naishi ili nikakae kwenye mijengo yake maana alikuwa na mijengo kibao ya kufanyia mambo yake. Unajua wauza ngada huwa na machimbo tofauti tofauti.
Yaani huwa wanakodisha majumba sehemu tofauti tofauti tena maeneo wayayokaa watu wenye pesa zao mjini kwa ajili ya kufanyia biashara zao. Humu ndimo shughuli ya kufunga mzigo tayari kwa kuupeleka streets hufanyika. Hilo wazo nikaona halifai. Nikafikiria nikija kudakwa kwenye hizo yumba za sembe si na shule itaishia hapo. Of course kufungwa nisingefungwa maana don angenitoa fasta tu ila hii kesi ikifika chuo lazima nitimuliwe, so nikaona idea ya kwenda kuishi huko haifai.
Idea ya pili nikawaza labda nipambane nitafute hata part time job maana documents nilizokuwa natumia zilikuwa zinaniruhusu kusoma na kufanya kazi. Nipambane nipate mjengo wa maana wa kuishi peke yangu. Hii idea tena nikaona kama itakuwa ngumu. Kuishi mjengo wa maana peke yako kwa South Africa inahitajika hela ndefu sana, so hata kama nikipata kazi sidhani kama itakidhi haya ninayoyapanga. Nikawa kama nimevurugwa vile maana moja haikai, mbili haikai. Anyway nikajiambia acha niyapeleke mambo taratibu mbele ya safari nitapata tu njia ya kutokea na hatimae kumtia Khumbu mikononi.
Itaendelea...
Wasomee tu....mi ndo Khumbu khumbukan peresa .yani watu tunalala tunamuota Khumbu mpaka tumeamka nae nq sasa tupo nae kazini..btw niko na vjana apa wanapiga Mock form 6 naona wanasinzia tu Natamani niwasomee hii story wachangamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipe link ya hiyo #2 nami niisome tafadhali. #1 na #3 nafuatana nazo tayari.Kuanzia juzi hapa JF pamekuwa patam sana, kuna nyuzi kama 3 hivi nkiingia lazima nizipitie.
1.hii ya khumbu
2.Jamaa anaye mkataa mtoto rasmi.
3.ya mzee wetu Mwitore na bi mdogo wake.
Yaani mambo ni Hot no Stress.
Utakuwa Khumbu wa Valentine weye unataka kula mpunga wa kijana wetuWasomee tu....mi ndo Khumbu khumbukan peresa .
UnjanNilitaka nishangae ifike episode hii asitokee khumbu humu...ah ah ah ah ah
Wasomee tu....mi ndo Khumbu khumbukan peresa .
Kijana wenu hayawezi madude yenye mashepu ya umlazi, kwamashu etcUtakuwa Khumbu wa Valentine weye unataka kula mpunga wa kijana wetu
Mwambien huyo konda msafi awatumie...Picha basi tuone tako lako la kuning’inia [emoji12][emoji12]
Kwani hapa bongo tumeisha? Weee dada wewe [emoji3061][emoji3061][emoji3061]Dah ngoja nitafute marafiki zangu wa huko wanipe japo mualiko tu
yebo yimi.Khumbu