Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nimejitahidi sana kwenda sambamba toka page ya kwanza yani day one unaanza mpk leo lakini malipo yake ndo haya nashindwa kunyonyesha mtoto kwa umakini kwa sbb ya story hii lakini ndo hivi unaishia njiani. Ptuuuuh
Watanzania Hamna jema 😁😁😁
 
Story fupi
View attachment 1702601

Maisha kuangaika bwana,katika sehemu ilitakiwa watanzania kuwa mji wao hii sehemu,ila wengi rohoo zetu zinaonyesha hata fitina tu kukatisha tamaa ya mtu hata JF zipo sana.
Hapa bwana kuna wakenya ndio waliokalibishwa na wabongo,kuna waganda,kuna wasomali maana wakenya ndio waliowaleta hapo,kuna wa ethiopia ukisikia wa ethiopia wana pita kwetu ujue pa kufikia hapa jozi kwa sehemu nyengine sijui ili wajipange waingie cap town kama wakimbizi.
Yote haya hii sehemu unaweza kusema somalia land au ukanda wa watu wapwani.mirungi hapa hata polisi hawa jui ni nini ila inalimwa sijakumbuka sehemu gani,kahawa ya ethiopia hapa unapata,nyama ya ngamia hapa ila sio ya kugombea msikitini pale msikiti wa ngamia sijui manzese,silaha hapa utazani hupo somalia maana hata polisi hawaji kizembe,wahindi wa kila aina. Na n.k

Kuna wamalawai wengi mpaka kuna mtaa unaweza kusema hupo tandale kwa mtogole,kuna madoni na misikiti mikubwa yani ijumaa ikifika sio kwetu watu wanasaidia maskini mpaka unajiuliza!?/€:8:9:9:&€):.

Ila maisha ya huku jamani japo ni sehemu nimekaa vijana waliokuja hata hawa pajui sehemu ya mji na wengi walikuwa mateja na vilema [emoji17] .na wengine kusema familia zao walisha sema amekufa.wengine wamezaa na wa huku,na wengine omba omba kabisa.

Utafutaji ni safari,watu wanaishi maisha mabovu na wapo waliofanikiwa sio kivile kwa njia halali.
Ila mwanamke wa huku si watanzania hata hupo getoni ila kama unaweza kumuhudumia kidogo ndugu huyo ni wako .maana katua mzigo

Naweza wapa visa vingi
Fungua uZi
 
Hapa JF watu ninaowakubali katika kusimulia hadithi bila kukatisha wala kuwaacha raia njia panda ni KigaKoyo na JBourne59 ...Big up sana kwa hawa wakuu..wanasimulia kila tukio na wala hawataki kuumiza hisia za wengine..

Sio unakaa unaanzisha story then baadae unakuja kusema unaikatisha..Mambo gani haya..hata muda huu unapoisimulia najua utakuwa unaskip baadhi ya vitu ili tu uimalize uwaridhishe raia lakini toka moyoni mwako najua spirit ya kuandika imekutoka...Watu wamekaa kuisubiri halafu unaikatisha, then from no where unasema unaleta summary, why didn't u summarize in one page toka siku ya kwanza kama ulikuwa unataka kuleta summary?

Hadi ubembelezwe, watu walielie ndo ujisikie kuendelea.. Leo ndo umejua kama inakula muda. Kwani lazima uimalize leo? Mbona kina KigaKoyo na JBourne59 huwa wanaleta atleast 2 episodes per week..Ni episodes ambazo zinakuwa zimejaaa nondo za kila aina na hawanaga maringo hivi...

Acha mambo yako mkuu..hata kama story yako huwezi ukawafanyia hivi raia...Kama vipi potezea tu hata story yako maana maringo yamezidi wakati mwanzoni uliahidi kuweka kila kitu...wewe konda msafi na Habibu B. Anga wa VIPEPEO WEUSI hamna tofauti..Mnaanzisha story halafu mnaziachia kati kisa tu watu wameonesha mwitikio mkubwa..Acheni kuvimba...Hivi ushajiuliza ni psychological torture kiasi gani mnazowapa raia kwa huu ukatili unaotaka kuufanya...life is hard, watu wana stress na umepewa uwezo wa kuandika kisa chako na watu wanafarijika angalau wanapata relief na kuenjoy halafu from no where tu unakuja na story eti naishia hapa sijui ni ndefu toka 2008 hadi 2012....Ulilazimishwa kuileta? HAPANA, ulileta kwa hiari yako basi imalizie..Binafsi sikubembelezi wala sikulazimishi na nakairi kuwa naipenda na naifatilia story yako kwa sana, ila kama unaiendeleza usilete summary, kama unataka kuleta summary ni bora ubaki nayo tu na ikiwezekana mods waifute kabisa maana haimake sense...Kuanzisha kitu na kukiacha njiani huku watu wapo serious nacho ni mambo ya kishamba sana krnne hii tena kwa mtu mwenye exposure na educated kama wewe..

Big up sana kwa KigaKoyo na JBourne59 ...Mnajua kuwapa kitu wapendacho watu wanaotenga mda wao kufatilia story zenu...

UNABOA MKUUUUUU....Ni mimi Balozi wa watu wote wanaokerwa na tabia zako za sitaki na taka..
Huyu habib b Anga nna Kesi nae Operation Barras Kimyw, Vipepeo weusi Kimya, na mambo Kibaoo yy uishiaa njianii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewahi mkuta mheshimiwa mmoja anagombania mwanamke na mchizi nikamsaidia kumpata na akaondoka nae. siku nimeenda ofisini kwake kanihudumia kwa kujivuta vuta nikamwambia mh. unanifahamu akajibu hapana we mtoto wa nani nikamkumbusha ilo tukio la kumsaidia kumpata demu alicheka sana tangu kipindi hicho ni jamaa yangu

na watu huwa wanashangaa mbona jamaa ananata sana ila kwangu haletagi kelele kumbe ni tukio hilo tu
Tena watu maarufu ndo wanaongoza kufanya mambo ya hovyo, wakiona pisi Kali tu wanataka wanalivue nguo,
 
Mkuu tatizo la Watanzania wengi exposure ni zero,jamaa amesikia mayor akahisi president! Huku sisi Serikalini mtua akikwambia ni Diwani au Mbunge unachukulia simple vibaya mno Mara mia akuambie ni Mkurugenzi flani ndipo heshima itakuwepo.
Hata President anaweza kugonga mwanamke ambaye hajaenda shule ili mradi kavutiwa nae, achana na kitu pisi Kali ukiliona tu mguu wa tatu lazima usimame hapo lazima utumie wazifa kula mtoto
 
Binafsi nlikwazika [emoji849], maana inabadilisha hata dhamira ya uzi.

Ukifika vipande kama hivyo unaweza sema tu kuwa tukafanya yetu, hapo inaeleweka, sio kuanza kueleza mambo ambayo hayakuwa na umuhim

Kumbuka kumbukumbu zitabaki milele hapa hata ukiwa tayari usharudi kwa Muumbaji Mungu mfalme.

Binafsi nimefurahishwa na kujitambua kwako, na kuwataka radhi wafwatiliaji wa uzi wako huu mzuri.
Hii scene mbona sijaiona??
Mkuu konda msafi tafadhali hii scene nitumie inbox

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Muwe na usiku mwema enyi taifa la wenye viherehere.
Muwe na usiku mwema wa dada wote magubegube yaliomshinda mtume na maswahaba zake, wenye damu za kunguni na nyota za punda tasa, mliokosa mualiko hata siku ya Valentine's Day kwenda kuhongwa hata Banana au K-Vant.

Mmekaa kukodoa macho JF usiku na kuharisha kwenye thread za watu, wakati wenzenu tupo nao viwanja.[emoji4]
 
Back
Top Bottom