Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Nimepita kule insta nikakukumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kuna story zinahuzunisha na kufurahisha kwa wakati mmoja
🤣🤣🤣🤣 Tena umenikumbusha Jamani..wacha nikasome michambo ya michepuko na mama mijengo... ndoa hizi 🙌
 
Dah Ila we jamaa nilichokukubaoi ni mstaarabu Sana Yani nimevutiwa na hi character yako.
Pamoja na povu lote lile ila umejibu vizuri namna hii mi nilitegemea ungereply harshly kinoma we Ni muelewa Sana bro.
Nimekukubali Sana mpaka nimetamani kukufahamu in person.
Ukiona konda anavaa nguo safi ujue ni mtu makini
 
Mkuu hii ingekuwa bongo tungeenjoy sana hapo natenga buku 20 tu. 10 kwa ajili ya demu... 10 nyingine ugali nyama choma 4000 value ndogo/ kvant ndogo 3000 maji makubwa 1000 na chechi ina baki upewe nn tena ya castle lager 1. Mkuu twenzetu SA.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16] twenzetu tu
 
Watu wako wapi mbona leo sioni shangwe za khumbu na ndio walikuwa wanapiga kelele hapa[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] michango ya bundle imewakimbiza

Konda msafi angesema aende telegram watu walipie bukubuku ngewasikia hapa kama shida bundle na mda wako ungeweka no tukuchangie kaweka no michango hakuna
 
Back
Top Bottom