Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Na tutakuwa wote wanawake tu
🤣🤣🤣🤣una hamu ya kushambuliwa na mzinga wa nyuki usiku huu eeh!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tutakuwa wote wanawake tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aweke atufurahishe tuendelee kumtumia za bundle
🤣🤣🤣🤣 Tena umenikumbusha Jamani..wacha nikasome michambo ya michepuko na mama mijengo... ndoa hizi 🙌Nimepita kule insta nikakukumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kuna story zinahuzunisha na kufurahisha kwa wakati mmoja
Ukiona konda anavaa nguo safi ujue ni mtu makiniDah Ila we jamaa nilichokukubaoi ni mstaarabu Sana Yani nimevutiwa na hi character yako.
Pamoja na povu lote lile ila umejibu vizuri namna hii mi nilitegemea ungereply harshly kinoma we Ni muelewa Sana bro.
Nimekukubali Sana mpaka nimetamani kukufahamu in person.
Hahahaha na vitambi vyetuMaana kila siku ni sisi vibibi wa 30+ kusemwa angalau leo tumepumzika [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nishazoea kushambuliwa wala sijali huo ni ukweli tutakuwa wanawake tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]una hamu ya kushambuliwa na mzinga wa nyuki usiku huu eeh!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha na vitambi vyetu
Au nasema uwongo ndugu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakiamua kupunguza stress zao kwetu wanatumaliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi Ndugu yangu.. Tunasemwa sana na hivi vitambi.Au nasema uwongo ndugu yangu [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakiamua kupunguza stress zao kwetu wanatumaliza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watakuja tu mama tutawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sijui wako wapi?
Hahahha watuache na vitambi vyetu watakuja kusema wenye vitambi tunafarijianaUpo sahihi Ndugu yangu.. Tunasemwa sana na hivi vitambi.
Yaani [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16] twenzetu tuMkuu hii ingekuwa bongo tungeenjoy sana hapo natenga buku 20 tu. 10 kwa ajili ya demu... 10 nyingine ugali nyama choma 4000 value ndogo/ kvant ndogo 3000 maji makubwa 1000 na chechi ina baki upewe nn tena ya castle lager 1. Mkuu twenzetu SA.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani [emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16] twenzetu tu
Mimi nishazoea kushambuliwa wala sijali huo ni ukweli tutakuwa wanawake tu
Jamani mtumieni ya bundle konda msafi ana majukumu yake anayaacha anakuja kutuburudisha
Kuna siku alifunga safari kwenda kwa mtoto wa Cebisa kumbe wife nae kamfuaya HD....
Lakini alimpenda sana Cebisa.
Alinifurahisha kufumua metrics.
Mh! Khumbu gani huyu?😐View attachment 1704228Mzee mzima konda msafi na Khumbu mitaa ya Kwa Zulu Natal..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] michango ya bundle imewakimbizaWatu wako wapi mbona leo sioni shangwe za khumbu na ndio walikuwa wanapiga kelele hapa[emoji848]